Nitakushukuru sana ukinipatia filamu hii

Nitakushukuru sana ukinipatia filamu hii

obi's

JF-Expert Member
Joined
Dec 24, 2011
Posts
233
Reaction score
40
wadau poleni na shughuli za kutwa nzima. Jamani natafuta filamu ya ki nigeria inaitwa FOR BETTER AND FOR WORSE. Filamu hii imechezwa na emeka ike na genniviv naj, pamoja na yule mzee aliecheza filamu ya aki na ukwa. Filamu hii naipenda sana, nimeitafuta sana bila ya mafanikio, yeyote alienayo au kujua inapatikana wapi, no. Yangu 0755 645273. Nipo mwanza. Pls guys naomba msaada wenu.
 
Bwana Obi's kwa kuwa unajua jina la movie,si una download tu ata kwa kutumia simu yako..
 
mkuu nakushukuru sana msaada huo, nilijaribu kufanya hivyo ila jamaa wa net akaniambia haiwezekani hapa tz, labda kwa kenya, mkuu unawezaji kunisaidia
 
Je ulifanikiwa kuipata FILAMU uipendayo?
 
Back
Top Bottom