zee_latown
JF-Expert Member
- Feb 21, 2026
- 677
- 1,234
halaa halaa kumekucha..
natarajia kusafiri kesho kuelekea Masasi... sijui sana hints za mabinti wa kule kwa sababu nina muda mrefu sana sijakanyanga nyumbani... tafadhalini, mnaoishi huko na ambao hamuishi ila mna info, si vibaya mkinipa.
natanguliza shukrani za dhati sana. Mnachihanguu