zee_latown
JF-Expert Member
- Feb 21, 2026
- 677
- 1,234
sijaelewa mkuuSifa yao kuu
okay, I'll work on itNenda na vipimo vya HIV au condoms
kivipi? hawapendi hela au?Msimu Korosho huu Mzee...
Watu wanafanya matanuzi...kuhusu hela siyo shida zao.
Njoo kwa tahadhari tu usije ukaacha ndala..😄
Uwe makini na mitaa hiyo, mnaweza kuchangia mtu huyohuyo lodge nzima, wanajua sana kucheza uwanja mzima na hawachokihalaa halaa kumekucha..
natarajia kusafiri kesho kuelekea Masasi... sijui sana hints za mabinti wa kule kwa sababu nina muda mrefu sana sijakanyanga nyumbani... tafadhalini, mnaoishi huko na ambao hamuishi ila mna info, si vibaya mkinipa.
natanguliza shukrani za dhati sana. Mnachihanguu
aisee.. mnaniogopesha sanaUwe makini na mitaa hiyo, mnaweza kuchangia mtu huyohuyo lodge nzima, wanajua sana kucheza uwanja mzima na hawachoki
Muulize baba chilaka kutoka mathathi hii ni kubwa thana.halaa halaa kumekucha..
natarajia kusafiri kesho kuelekea Masasi... sijui sana hints za mabinti wa kule kwa sababu nina muda mrefu sana sijakanyanga nyumbani... tafadhalini, mnaoishi huko na ambao hamuishi ila mna info, si vibaya mkinipa.
natanguliza shukrani za dhati sana. Mnachihanguu
Mkuu kwanza karibu sana nyumbani hakika kumenoga....wanawake wa kimakua ni wakarimu mno na ni wakweli sana ila ukishafika nistue tukutane kibohalaa halaa kumekucha..
natarajia kusafiri kesho kuelekea Masasi... sijui sana hints za mabinti wa kule kwa sababu nina muda mrefu sana sijakanyanga nyumbani... tafadhalini, mnaoishi huko na ambao hamuishi ila mna info, si vibaya mkinipa.
natanguliza shukrani za dhati sana. Mnachihanguu
Wapi unazungumza ukiwa Njombe?Wana UTI sio poa
Kibao ninpa moto sana in town😁Mkuu kwanza karibu sana nyumbani hakika kumenoga....wanawake wa kimakua ni wakarimu mno na ni wakweli sana ila ukishafika nistue tukutane kibo