Nitakuwa mtu wa mwisho kuamini ikiwa Taifa Stars itafuzu AFCON mwakani 2024

Game ya kwanza Uganda walitoa sare na Niger..kwa kiwango walichoonesha Niger Kama game ya mwisho ni home na Niger wakaaamua kucheza Kama Jana basi Uganda ushindi wake kule ni sare,Algeria wanaweka timu dhaifu kwa Sasa,Cha kufanya ni 'kuongea' nao tupate sare
 
Uganda hii ambayo ni tiamaji tiamaji kama sisi tena inaenda ugenini kwa Niger
Niger wameahidi kulipa kisasi cha figisu za jana taifa za ball boys kuwaste time kwa kujirahisisha kwa uganda na kula kipigo cha kutosha ili stars isiende finals, so ujanja/ushamba wa jana unatucost, ikiwa hivyo ni sawa ili tujifunze kushinda fairly
 
Algeria 2-0 Tanzania,,,Niger 1-1 Uganda....Algeria+Tanzania qualify
 
Tumuombee Uganda njaa tu hamna option bora zaidi ya hiyo. Kushinda kule ni ndoto.
 
Bora tusifuzu kuepusha aibu kwenye mashindano

NB:Jana kulikuwa na upuuzi mwingi sana taifa hadi ball boys walikuwa wanaficha mipira hadi kocha wao wa Niger akasema game ijayo watawaachia Uganda
 
Algeria atatunza kikosi kwa sababu ipi

Kwa sababu vikosi huwa vinatunzwa kwa sababu maalum

Wenzetu wanapenda kutengeneza rekodi watupige 5 watengeneze rekodi zao
Pia kufanya vizuri kwenye hizi mechi kunapandisha timu kwenye rank za CAF na FIFA. Kiufupi watatukanda vizuri tu 🤣😂🤣
 
Kama umeangalia mechi za mwisho za ligi ya NBC, siku hizi ni ngumu sana kufix matokeo uwanjani. Wanaweza kuweka kikosi dhaifu lakini tunabebeka?

Halafu hawa Uganda si ndiyo walitubeba AFCON iliyopita?
 
Qumaninaa[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Algeria atatunza kikosi kwa sababu ipi

Kwa sababu vikosi huwa vinatunzwa kwa sababu maalum

Wenzetu wanapenda kutengeneza rekodi watupige 5 watengeneze rekodi zao
Tayar washafuzu sasa umchezeshe Mahrez ili iweje? Kama uliangalia game na Uganda wachezaji wengi tu walikuwa wapya kwenye kikosi muulizeni Aucho walichomfanya wenyewe eti mnamwita Dr.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…