Nitakuwa mtu wa mwisho kuamini ikiwa Taifa Stars itafuzu AFCON mwakani 2024



waganda wenzako wamefuzu mkuu.
 
Unajua Taifa stars baada ya kuusoma Uzi wako,wameingia uwanjani na wameku-prove wrong
 
Wachaambuzi wa mchongo.
 
Nitakuwa wa mwisho kuamini ikiwa Stars itafuzu kwakuwa ninaamini tutafungwa na Waarabu na si chini ya goli moja pekee na wakati huo nawapa Waganda nafasi ya kumfunga Niger.
Haya, kuwa sasa
 
Unajisikiaje huko uliko?
 
Jana tu hawajapuuza na walikuwa away lkn wakamkanda Uganda pale pale. sasa na ukizingatia Uganda walivyokuwa wanautaka ule mchezo lkn wapi sasa cc je na ictoshe tuko kwao. alafu hatuna historianzur kule kwao hadi 7 huwa tunapigwa[emoji23]
Unajisikiaje huko uliko?
 
Sawa mganga wa timu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…