Mr Ubwabwa
JF-Expert Member
- Mar 23, 2023
- 375
- 283
Wewe umedondosha pwenti kwa timu zipi?Mancity hao hao unaowasifia wamedondosha pwenti kwa timu dhaifu sana
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wewe umedondosha pwenti kwa timu zipi?Mancity hao hao unaowasifia wamedondosha pwenti kwa timu dhaifu sana
Hongera arsenal kwa kubeba kombe mlilopewa na Huyu bwana.Msimu huu Arteta ana Jambo lake jamani. Kuna mechi kabla haijaanza unajisemea moyoni "Arsenal Leo kazi anayo" Hee! kabla ya Half time anamtungua mtu 3-0. Mi nilishampa kombe kitambo sana!
Muwe mnaleta na feedbackHata sisi wenyewe ubingwa hatuutaki ila jogoo analiwa amejileta kipindi kizuri sana pasaka hii haimuachi salama
Bado ligi mbichi hiiWewe ndio umesema ausio