TRC wanajichanganya sana, na pengine mwisho wa siku Masanja Kadogosa itabidi afungwe jiwe shingoni na kutupwa chini ya treni, lakini TRC wangesema waziwazi kuwa pesa zilizozidi kwenye bei ya behewa imekwenda kusaidia shughuli za chama ikiwemo mkutano mkuu unaoendelea. Mjadadala ungeshakwisha!
Ni bahati mbaya kwamba hata Kigwangalla hajui hili, wanachama wenzie wanamshangaa.
Ni bahati mbaya kwamba hata Kigwangalla hajui hili, wanachama wenzie wanamshangaa.