GENTAMYCINE
JF-Expert Member
- Jul 13, 2013
- 60,660
- 121,325
Halafu ndiyo huwa 'tunapendwa' kweli kweli na Mwenyezi Mungu pamoja na Malaika wake Wakuu. Na huwa anatulinda vilivyo pia dhdi ya Maadui.Nasikia binadamu tunaochukia unafiki Tanzania tuko hatarini kutoweka maana tumebaki wachache sana.
Kwendra huko. Nyie mnalindwa na MUNGU? Kama mnaamini uwepo wa MUNGU mbona mnatembea na magari ya deraya, mibunduki isiyo na idadi na helicopter angani?Halafu ndiyo huwa 'tunapendwa' kweli kweli na Mwenyezi Mungu pamoja na Malaika wake Wakuu. Na huwa anatulinda vilivyo pia dhdi ya Maadui.
Mkuu una Ugomvi binafsi na Mimi au? Una uhakika kuwa hizi 'Privileges' zote tajwa hapa Mimi GENTAMYCINE nazipata? Kuwa CCM ni Kosa kubwa?Kwendra huko. Nyie mnalindwa na MUNGU? Kama mnaamini uwepo wa MUNGU mbona mnatembea na magari ya deraya, mibunduki isiyo na idadi na helicopter angani?
Mnaogopa hata wanawake?
Mnamfanyia fujo CPA, Matiko, Mdee mnamzuai kampeni. Kimambi tu Yuko Ulaya alilifanya jeshi kufagia barabara. Je wakija watoto wa kiume wawili?
Kaka salama?Mkuu una Ugomvi binafsi na Mimi au? Una uhakika kuwa hizi 'Privileges' zote tajwa hapa Mimi GENTAMYCINE nazipata? Kuwa CCM ni Kosa kubwa?
Una uhakika kabisa wa 100% kuwa ulichokiandika pale kilikuwa hakinilengi au hutaka kunifikishia Mimi? Tena kuwa makini sana nami 'Juha' Wewe.Kaka salama?
Mbona unajistukia? Mimi nilikua namsema makamu wa rais wa Kenya. Be. Ruto
Mkuu unaelewa Mungu akikupenda nini kinafuata?Halafu ndiyo huwa 'tunapendwa' kweli kweli na Mwenyezi Mungu pamoja na Malaika wake Wakuu. Na huwa anatulinda vilivyo pia dhdi ya Maadui.
Bila kusahau alituletea majibu ya bashiteMshenga Gwajima aliwaletea Lowasa 2015.
Bila kuwa mnafiki huwezi kuwa mwana CCM. Leo hii mwenyekiti wa chama anamnadi Gwajima kuwa anastahili kuwa kiongozi maana yake ni kwamba Geajima ni mtu safi.
Gwajima alipotoa mpaka kopi ya result script vya RC kuwa huyu mtu alipata F,F,F.... mwenyekiti wa chama hakuchukua hatua yeyote ile.
Wakati tupo nae alikuwa hajacheza muvi za ngono, wala akuahidi kugeuza misikiti kuwa Sunday schools, ila kumbuka wakati tupo nae alikuwa anatumia madawa ya kulevya vipi huko kwenu ameacha kutumia? Au nanyie mmesahau kuwa ni teja huyo?Enheeee huu sasa ndio huo inafiki wenyewe
Ni mwaka juzi tu mlikua mnaruka mguu mmoja juu pale Gwajima aliposimama kwenye majukwaa yenu na kuongea maneno ya kashfa hamkujali kia ana makandokando
Leo mmegeuka tena kwa Gwaji huyohuyo (aliekua wenu) eti mnnataka kutushawishi kua hafai si mngetuambia pale alippkua wenu?
Moja kati ya kosa wanalofanya waandika mada humu Jf ni kudhani kwamba watanzania hawana akili
Nimeona mwamba mmoja humu anadai Gwajima alimchukua mke wa Ima,Wakati tupo nae alikuwa hajacheza muvi za ngono, wala akuahidi kugeuza misikiti kuwa Sunday schools, ila kumbuka wakati tupo nae alikuwa anatumia madawa ya kulevya vipi huko kwenu ameacha kutumia? Au nanyie mmesahau kuwa ni teja huyo?
Ni rare speciesNasikia binadamu tunaochukia unafiki Tanzania tuko hatarini kutoweka maana tumebaki wachache sana.
Mkuu mimi naongelea vitu vyenye ushahidi, video zipo akitafuna kondoo, video ipo akisema misikiti kuwa ...... pia kumbuka alishakaa sero kwa kesi ya madawaNimeona mwamba mmoja humu anadai Gwajima alimchukua mke wa Ima,
Kwa kumbukumbu zangu hilo lilitokea wakati Gwaj anavaa gwanda mbona sijakuona ukilikemea mkuu?
watumiaji wa mtandao wakiwa nyuma ya kibodi hujifanya hawajawahi kua wanafiki na ni wasafi hawana kosa lolote, kazi yao kubwa ni kuwakosoa na kuwahukumu watu, ifike hatua nafsi zetu ziwe zinatusuta kuwahukumu watu as if sisi ni wakamilifu, mtu kuwa kiongozi hakumuondelei sifa ya kukosea kama mwanadamu, tubadilikeni hizi tabia si rafiki katika kujenga jamii boraBila kuwa mnafiki huwezi kuwa mwana CCM. Leo hii mwenyekiti wa chama anamnadi Gwajima kuwa anastahili kuwa kiongozi maana yake ni kwamba Geajima ni mtu safi.
Gwajima alipotoa mpaka kopi ya result script vya RC kuwa huyu mtu alipata F,F,F.... mwenyekiti wa chama hakuchukua hatua yeyote ile.
@GENTAMYCINETAARIFA MPYA: Mhusika Mkuu wa uharibifu uliotokea kwenye studio za prodyuza @S2kizzy ameshakamatwa na wenzake 17 wanatafutwa. Aidha, wafanyakazi wa studio hiyo waliokuwa wameshikiliwa na polisi wameachiwa. Tunaendelea kuhakikisha haki inatendeka.
msemajimkuuwaserikali
Nadhani kama kuna tukio ambalo nilitegemea Watu wa Serikali pamoja na CCM nzima hadi Jeshi la Polisi wangelivalia njuga kwa nguvu zote na hata 'Kulikemea' kwa 'Kumuadhibu' Mratibu wake Mkuu ambaye alikuwa ni aliyekuwa Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam Ndugu Paul Makonda ni lile la Kuvamia Ofisi za Clouds Media Group. Hakuna Kitu nachukia kama 'Unafiki' hapa duniani.