GENTAMYCINE
JF-Expert Member
- Jul 13, 2013
- 60,660
- 121,325
TAARIFA MPYA: Mhusika Mkuu wa uharibifu uliotokea kwenye studio za prodyuza @S2kizzy ameshakamatwa na wenzake 17 wanatafutwa. Aidha, wafanyakazi wa studio hiyo waliokuwa wameshikiliwa na polisi wameachiwa. Tunaendelea kuhakikisha haki inatendeka.
msemajimkuuwaserikali
Nadhani kama kuna tukio ambalo nilitegemea Watu wa Serikali pamoja na CCM nzima hadi Jeshi la Polisi wangelivalia njuga kwa nguvu zote na hata 'Kulikemea' kwa 'Kumuadhibu' Mratibu wake Mkuu ambaye alikuwa ni aliyekuwa Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam Ndugu Paul Makonda ni lile la Kuvamia Ofisi za Clouds Media Group. Hakuna Kitu nachukia kama 'Unafiki' hapa duniani.