Nitalifungulia kesi Jeshi la Polisi kwa kunikamata bila idhini ya Mwajiri, Pia nalishukuru kwa kunipa promo(Deo Kisandu)

Nitalifungulia kesi Jeshi la Polisi kwa kunikamata bila idhini ya Mwajiri, Pia nalishukuru kwa kunipa promo(Deo Kisandu)

Mwajiri ndiye aliyekutuma uandike uo uharo kwenye mitandao mpaka atoe idhini ya kukamatwa kwako kwa kosa ulilolitenda mwenyewe na ambalo lilikuwa halihusiani na majukumu uliopngiwa na mwajiri wako?
 
Hii nchi kuna watu wasiojulikana watch your mouth
 
Zote ni changamoto za maisha
Mkuu kisandu, naona sasa unajua kukunja na kukikunjua kirago cha jela[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Hivi huyu mtu hana ndugu wa kumsaidia kumpeleka mirembe? Tatizo akifikià hatua ya kuanza kula majalalani hatoweza kupona tena
 
Na hawa polisi wetu nao, huyu mtu kichaa kwa nini wanahangaika naye?
 
BADO UNASUMBUA? KWANIN USIWE KIMYA KAMA ROMA, NONDO, NA WENGNEO? AU WEWE HUKUPEWA MAFUNZO KAMA HAO?

mafunzo ? WALE WALIPIGWA BRUSH ZA NYUMA NDIO MANA WAMETULIA....wakiongea tu watawashika tena wawatusue...wanachofanya ni kupiga brush(wanapitisha mashine kunako hawaingizi) wanakuwa wamekupa warning kwamba next time wataingiza
 
Una matatzo ya kuruka stage unachokipigania hakijulikani jitu zima unapost ujinga ujinga mitandaon utafikir ndio unabarehe Leo.
Bora ulivyokuwa jela tulipumzika kuona upumbavu wako huku jf.

Badlika jombaa uwe unakua sio unazeeka na ujinga ujinga. Sijui hata wanao unawafundisha nn
Kwani kuna kosa amelifanya hapa?,Ametukana mtu?,Ameongea matusi?,Ameongopa?Je,amevunja sheria/Katiba ya nchi?,Km majibu ya maswali hayo ni hapana,sasa kwanini kumhukumu na kumdharau mtu?,JF ni stress free zone kwa hiyo kila mtu ana namna yake ya kupunguza stress,maadamu hajakiuka taratibu.Hata hivyo sio lazima ninachokiandika mimi au wewe kimfae kila mtu.Inawezekana hata wewe kuna mada unaziandika zinakera watu ila wanakustahi tu kwasababu ni haki yako.Hivyo mwache Mtoa mada apunguze stress zake.
 
Fuatilia post zake za nyuma kwa ID ya Deogratius Kisandu
 
Back
Top Bottom