Nitam-handle vipi mwanamke aliyetahiriwa

Nitam-handle vipi mwanamke aliyetahiriwa

Mayu

JF-Expert Member
Joined
May 11, 2010
Posts
7,621
Reaction score
12,505
wana jf nisaidieni kwahili nasikia wanawake walio tahiriwa hawana kabisa hamu ya tendo na hawafiki kileleni kabisa sababu ilesehemu yenye kufanya kazi hiyo huwa imeondolewa. nakwamba eti kuna namna ya kuwafanya wakati wa tendo ili wajisikie.
 
1.hapo romance kwa wingi kabla ya mechi vinginevyo utaaibika.
2.kila mwanamke akishughulikiwa inavyostahili atapiga bao tu/atafika kileleni.
3.hawa inabidi ufanye kazi ya ziada kudill na other sensitive organs.
4.wakati ule anahitaji/wakati anakaribia period ni wakati muafaka sana kuitisha mechi ya kirafiki.
 
hivi huwa hawaji kabisa hata wakijiweka vidole wenyewe????
 
1.hapo romance kwa wingi kabla ya mechi vinginevyo utaaibika.
2.kila mwanamke akishughulikiwa inavyostahili atapiga bao tu/atafika kileleni.
3.hawa inabidi ufanye kazi ya ziada kudill na other sensitive organs.
4.wakati ule anahitaji/wakati anakaribia period ni wakati muafaka sana kuitisha mechi ya kirafiki.
KWELI TALL KAZI YA ZIADA MAANA HATA MIMI NILINIKUTANA NA HALI HIYO KWA WADADA WAWILI.MWANZONI SIKUJUA LAKINI BAADAYE MAMBO NILIYOYAKUTA YALIKUWA NI BALAA. WA KWANZA AKAANZA KWENDA KUNYUME NA MAU,.LE KISIRI BILA KUNIAMBIA YAAANI AKAWA ANAPELEKA KITU KISIRI,MPAKA NILIPOMFUMA .KWELI ILINIUZI MNO, LAKINI AKAJA KUNIAMBIA NIAMBIA NA KUNIONYESHA SABABU JINSI ALIVYO KEKETWA, ALIKUWA ANAKIMBIA MAUMIVU NA NDIO IKAWA ANAFANYA HIVYO.. NDIO IKAWA MWISHO WETU
MWINGINE KWAKE NILIKUWA NIKIONYESHA DALILI ZA KUMTAKA TU KIMAPENZI ,ALIKUWA ANATETEMEKA NA KUHAHA NYUMBA NZIMA,.NA ALIKUWA ANALIA WAKATI WA TENDO ,HATA LUBRICANTS HAZIKUSAIDIA,TULISHAWAHI KUKAA MIEZI MITATU BILA KUFANYA KITU NA ALIKUWA HALALAMIKI..KOSA LILIKUWA NIKIOMBA VITU TU, HAPO AMANI ILIKUWA INATOWEKA.,MZEE ILIBIDI nitoke NDUKIII.. DUUU.,,mpaka leo nikikumbuka it was a bad history... MILA NYINGINE NOMA MNO
 
nIMESIKIA JAMBO KAMA ILI INGAWA SINA UHAKIKA
NAONA WADAU WAMEKUPA USHAURI, USE IT
 
wana jf nisaidieni kwahili nasikia wanawake walio tahiriwa hawana kabisa hamu ya tendo na hawafiki kileleni kabisa sababu ilesehemu yenye kufanya kazi hiyo huwa imeondolewa. nakwamba eti kuna namna ya kuwafanya wakati wa tendo ili wajisikie.

Nikweli ndugu hayo unayo yasema lakini pia inategemea na jinsi alivyo athirika kwa kitendo hicho kwa habari zaidi F bofya hapa utazipata na mambo mengine
 
thanks kwa michango yenu
 
Nenda naye tarartibu na umwandae kiakili kuwa unjua tatizo lake na usikimbilie kujitosheleza wewe; mara kwanza na ya pili unaweza usifike killeleni na wakati wa kuingiliana usiingize uuume wako wote!
 
Pamoja na ushauri uliyotolewa na wengine,ni rahisi sana kuwamudu wanawake walifanyiwa tohara.
1. Kwa kuwa wanawake waliotahiriwa ni wasafi na huwa hwanuki maeneo nyeti, nenda chumvini kwa sana.
2. Piga katerero kama huna akili.
 
Usafi na uchafu ni tabia ya mtu. kama mwanamke ni msafi awe katahiriwa au hajatahiriwa atakuwa msafi tu.
na kama mwanamke ni mchafu vivyo hivyo. inaonekana wewe una bahati ya kukutana na wachafu, pole sana jitahidi kutafuta wasafi
 
pamoja na ushauri uliyotolewa na wengine,ni rahisi sana kuwamudu wanawake walifanyiwa tohara.
1. Kwa kuwa wanawake waliotahiriwa ni wasafi na huwa hwanuki maeneo nyeti, nenda chumvini kwa sana.
2. Piga katerero kama huna akili.

chumvi hupigwa eneo sensitive,.nakwambia,..sasa hayo maeneo ndio yanayo ondolewa kimila,.kutofautiana na makabila mengine hula yote yaani yote na kisimi , na mapezi ya nyumba.mengine hula sehemu tu,.sasa hiyo ni chumvi gani unayoisemea,.au ni kujisumbua? Acha ushabiki mila nyingine noma bwana.,.

Acha hiyo tabia kwa wengine unajisumbua chumvi kwao ni uchafu,.
 
ni kazi ngumu kumfikisha kilele, kama nazi kuvunja jiwe vile..
 
Hapo inatakiwa kushughulika na maeneo mengine sensitive. Demu wangu yaani kwa foreplay ya dakika45 na kudeal vizuri na kifua lazma afunge goli bila ya kugusa ikulu. So insertion si kitu pekee cha kumpa raha... Fanya foreplay ya ukweli
 
Back
Top Bottom