Zanzibar 2020 Nitamchagua Dkt. Mwinyi si Maalim Seif

Zanzibar 2020 Nitamchagua Dkt. Mwinyi si Maalim Seif

We ni chizi....

Wazanzibari wote wanamtaka Maalim Seif
 
Leo kipenzi cha Wazanzibar Dkt. Hussein Mwinyi ameingia kwenye Historia mpya ya kwenda
kuwatumikia Wazanzibar wenzake kwa kuchukua fomu ndani ya Makao Makuu ya Tume ya Taifa
NEC.

Nawaambia mamilioni ya Wazanzibar juu ya uwezo wa mgombea huyu kijana na si kumpigia kura
mgombea Kibabu anayepokea mafao yake ya kustaafu, tena anaitwa Mzee king'ang'anzi kama Kupe aliyemganda Mbwa mchafu.

Dkt Mwinyi anasababu zaiidi ya Milioni za kuchaguliwa na Wazanzibar, Mwinyi ni kijana mwenye nguvu na ari ya kuitumikia Zanzibar lakini si Sultan Maalim Seif ambaye amekata kauli Dubai.

Dkt Mwinyi si King'ang'anizi ndiyo maana aliacha Ubunge wa Mkuranga na kwenda kugombea Kwahani Zanzibar na akashinda, lakini Maalim Seif ni king'ang'anzi anaegombea nafasi moja tu tangu sijazaliwa na hajawahi kushinda.

Dkt. Mwinyi ni mzalendo wa Zanzibar, ukimsikiliza tangu alioopomba kuteuliwa kugombea nafasi ya Urais, Dkt. Mwinyi sera yake ni moja ni kuhusu maendeleo ya Zanzibar na namna atakavyoshirikiana na Rais wa Tanzania kupeleka maendeleo Zanzibar, lakini Kibabu Maalim Seif sera yake kubwa ni kuiuza Zanzibar kwa maswahiba wake wa Dubai ambao sasa wanamtibia bure.
Na mamako umchague.
 
Leo kipenzi cha Wazanzibar Dkt. Hussein Mwinyi ameingia kwenye Historia mpya ya kwenda kuwatumikia Wazanzibar wenzake kwa kuchukua fomu ndani ya Makao Makuu ya Tume ya Taifa NEC.

Dkt Mwinyi anasababu zaiidi ya Milioni za kuchaguliwa na Wazanzibar, Mwinyi ni kijana mwenye nguvu na ari ya kuitumikia Zanzibar lakini si Sultan Maalim Seif ambaye amekata kauli Dubai.

Dkt Mwinyi si King'ang'anizi ndiyo maana aliacha Ubunge wa Mkuranga na kwenda kugombea Kwahani Zanzibar na akashinda, lakini Maalim Seif ni kibabu king'ang'anzi kinachogombea nafasi moja tu tangu sijazaliwa na hajawahi kushinda.

Dkt. Mwinyi ni mzalendo wa Zanzibar, ukimsikiliza tangu alioopomba kuteuliwa kugombea nafasi ya Urais, Dkt. Mwinyi sera yake ni moja ni kuhusu maendeleo ya Zanzibar na namna atakavyoshirikiana na Rais wa Tanzania kupeleka maendeleo Zanzibar, lakini Kibabu Maalim Seif sera yake kubwa ni kuiuza Zanzibar kwa maswahiba wake wa Dubai ambao sasa wanamtibia bure.
watu wengine ni vioja. Wewe kwenu Zanzibar au ni pandikizi kama Hussein Mwinyi.Unaandika kama una dukuduku la roho. Na ni mbaguzi sana. Hebu rudia maandiko yako uyatathmini.
 
Back
Top Bottom