Uchaguzi 2020 Nitamchagua Magufuli tena kwani ametujengea uthubutu

Nyinyi endeleeni na uchaguzi mimi nafafuta naleta pesa nyumbani...Tanzania 🇹🇿

Ukweli ni kwamba huku wenzetu south Africa 🇿🇦 kama Rais hawamtaki raia wanaanza vurugu..yaani utatoka tu...wamevurugwa hawa jamaa.
 
watanzania hawajavurugwa...chadema ilitaka sana wavurugwe
 
Nakubaliana na mtoa uzi….ametupa hari ya kuthubutu bila shaka pamoja na mapungufu yake. Kwa hilo dole tupu!!!
 
J
Jeneral ulimwengu alisema siku moja kuwa magufuri anathubutu sana na anafikili kuwa anaitaji kukubali kushauliwa tu,hatuwezi kuwa dampo la bidhaa kutoka kwingineko tunaitaji kuthubutu kuanzisha vitu vyetu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…