Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
watanzania hawajavurugwa...chadema ilitaka sana wavurugweNyinyi endeleeni na uchaguzi mimi nafafuta naleta pesa nyumbani...Tanzania 🇹🇿
Ukweli ni kwamba huku wenzetu south Africa 🇿🇦 kama Rais hawamtaki raia wanaanza vurugu..yaani utatoka tu...wamevurugwa hawa jamaa.
Jeneral ulimwengu alisema siku moja kuwa magufuri anathubutu sana na anafikili kuwa anaitaji kukubali kushauliwa tu,hatuwezi kuwa dampo la bidhaa kutoka kwingineko tunaitaji kuthubutu kuanzisha vitu vyetu.Ukiacha mafanikio mengi tunayoweza kuyaelezea ya Mheshimiewa Rais Magufuli nimewiwa kuelezea moja ya mafanikio makubwa ambayo yatabaki kwenye mioyo ya Watanzania.
Fanikio hilo muhimu ni ari ya kipekee aliyotujengea Mheshimiwa Rais.
yaani sisi sio wanyonge na kamwe hatutakiwi kuwa wanyonge.
Mh.Rais katika kipindi chake ametuonesha kuwa Watanzania tunao uwezo mkubwa na tunapaswa kiutumia kuijenga Tanzania.
Tunao uwezo
1-kutumia akili zetu ipasavyo
2-Tuna uwezo wa kudhibiti rushwa
3-Tuna uwezo wa ujasilia mali
4-Tuna uwezo wa kuanzisha biashara na kishindana kibiashara
5-Tuna uwezo kuanzisha biashara
6-Tuna uwezo wa kubuni na kusimamia miradi
7-Tuna uwezo wa kufanya kazi au biashara masaa 24
8-Tuna uwezo wa kuilinda nchi dhidi ya mabeberu
9-Tuna uwezo wa kukabiliana na majanga.
10-Tuna uwezo wa kujadiliana na dunia.
HEBU ENDELEA KUWEKA UWEZO WA WATANZANIA KAMA STATE...