Nitamjuaje mmiliki wa gari kwa kutumia plate number?

Pain killer

JF-Expert Member
Joined
Aug 15, 2017
Posts
14,361
Reaction score
21,680
Habari wakuu

Hivi unawezaje kutambua mmiliki halali wa gari kama unaijua plate number ya gari husika?

Kama kuna namna ya kujua kupitia online naomba mwongozo wakuu.

Uzi tayari
 
Kama ni gari la abiria au lori au tax angalia sticker ya tra utaona jina lake au sumatra/latra
 
Miaka kama 5 iliyopita nikiwa a bado nina nidhamu ya woga na upendo wa dhati kweri kweriiiiiy, nilitongozwaga na mkaka ambae tulikutana kwenye biashara za magari, nikaweka kipeperushi changu kwenye gari nikasepa mara akaniita, wee dada rudi hapa umeweka nini kwenye gari yangu? Nikamuelezeaaaa , akauliza ofisi zenu ziko wapi nikamjibu.

Akauliza umeolewa nikasema hapana, nipe no zako nimekupenda, kwa ujinga nikamjibu nina mchumba siwezi mimi, alinibembeleza sana huyo kaka akanambia anatakiwa kuoa ndani ya miezi 6, kiukweli nilimkataa na sikumpa no,na vipeperushi vilikuwa na no za ofisi tu.

Sasa baadae mambo si yakaharibika huko nilikokuwa napenda kifala, nikamkumbuka yule kaka, kumbuka mpaka uweke kipepeushi kwenye gari la mtu lazima uangali ni no gani so nikawa nakumbuka no za mwanzo ya mwisho ikagoma.
Nikawaza kwenda tra kuna kaka namjua anisaidie, akaniomba no ya usajili, sikumbuki yote, sikupata msaada maaa ningepata msaada hadi no za simu.

Nikaendelea kukua weeee na kazi nina nyingine nakutana na watu tena wa maana .juzi kwenye msiba wa jpm kabla sijaenda chato, nikaitwa sehemu na waombolezaji wenzangu nikajuana na watu wawili wote nawajua majina , mmoja nina no zake mwingine sina no zaje na siwezi ziomba kwa mwenzake na ninashida kweli kuongea nae.

Plate no yake ina majina yake mfano yaani yamefupishwa J....., sasa nikamcheki jamaa wa tra, ninataka no za hii plate no, majibu yake sasa,

Wee falaa nini, huyu mtu unamjuaje? Nikamwambia ni rafiki ila mimi sina no zake , hata leo tulikuwa nae ila no ya simu noma kuipata ingawa nikimwomba atanipa ila mazingira hayaruhusu😂,akauliza majina yake nikamtajia ndo akaamini namjua. Ofcause hakunipa no yake , akanitaka niende ofisini sikwenda kuna kitu niliwaza si sawa.

Ndo nilijua wenye plate no za majina yao zinalipiwa 5ml kila mwaka, watu wana pesa asikwambie mtu.

So mleta mada, shika vipesa vyako mkononi nenda tra ongea na mtu ila uwe na sababu za maana utapewa kila kitu.
 
Wee falaa nini, huyu mtu unamjuaje? Nikamwambia ni rafiki ila mimi sina no zake , hata leo tulikuwa nae ila no ya simu noma kuipata ingawa nikimwomba atanipa ila mazingira hayaruhusu[emoji23],akauliza majina yake nikamtajia ndo akaamini namjua. Ofcause hakunipa no yake , akanitaka niende ofisini sikwenda kuna kitu niliwaza si sawa.

Ndo nilijua wenye plate no za majina yao zinalipiwa 5ml kila mwaka, watu wana pesa asikwambie mtu.

So mleta mada, shika vipesa vyako mkononi nenda tra ongea na mtu ila uwe na sababu za maana utapewa kila kitu.
Sio ml5 KILA mwaka ni baada ya miaka mitatu
 
Miaka kama 5 iliyopita nikiwa a bado nina nidhamu ya woga na upendo wa dhati kweri kweriiiiiy, nilitongozwaga na mkaka ambae tulikutana kwenye biashara za magari, nikaweka kipeperushi changu kwenye gari nikasepa mara akaniita, wee dada rudi hapa umeweka nini kwenye gari yangu? Nikamuelezeaaaa , akauliza ofisi zenu ziko wapi nikamjibu.

Akauliza umeolewa nikasema hapana, nipe no zako nimekupenda, kwa ujinga nikamjibu nina mchumba siwezi mimi, alinibembeleza sana huyo kaka akanambia anatakiwa kuoa ndani ya miezi 6, kiukweli nilimkataa na sikumpa no,na vipeperushi vilikuwa na no za ofisi tu.

Sasa baadae mambo si yakaharibika huko nilikokuwa napenda kifala, nikamkumbuka yule kaka, kumbuka mpaka uweke kipepeushi kwenye gari la mtu lazima uangali ni no gani so nikawa nakumbuka no za mwanzo ya mwisho ikagoma.
Nikawaza kwenda tra kuna kaka namjua anisaidie, akaniomba no ya usajili, sikumbuki yote, sikupata msaada maaa ningepata msaada hadi no za simu.

Nikaendelea kukua weeee na kazi nina nyingine nakutana na watu tena wa maana .juzi kwenye msiba wa jpm kabla sijaenda chato, nikaitwa sehemu na waombolezaji wenzangu nikajuana na watu wawili wote nawajua majina , mmoja nina no zake mwingine sina no zaje na siwezi ziomba kwa mwenzake na ninashida kweli kuongea nae.

Plate no yake ina majina yake mfano yaani yamefupishwa J....., sasa nikamcheki jamaa wa tra, ninataka no za hii plate no, majibu yake sasa,

Wee falaa nini, huyu mtu unamjuaje? Nikamwambia ni rafiki ila mimi sina no zake , hata leo tulikuwa nae ila no ya simu noma kuipata ingawa nikimwomba atanipa ila mazingira hayaruhusu😂,akauliza majina yake nikamtajia ndo akaamini namjua. Ofcause hakunipa no yake , akanitaka niende ofisini sikwenda kuna kitu niliwaza si sawa.

Ndo nilijua wenye plate no za majina yao zinalipiwa 5ml kila mwaka, watu wana pesa asikwambie mtu.

So mleta mada, shika vipesa vyako mkononi nenda tra ongea na mtu ila uwe na sababu za maana utapewa kila kitu.
Mil 5 miaka mitatu,pili hongera kwa tangazo lako kuwa uko single and searching ujumbe tumeupata,tutaufanyia kazi
 
Mimi ninatafuta humu? Hiyo ishu ni ya 5yrs ago, hata hivo siwezi tafuta mwanaume jf
 
Habari wakuu

Hivi unawezaje kutambua mmiliki halali wa gari kama unaijua plate number ya gari husika?

Kama kuna namna ya kujua kupitia online naomba mwongozo wakuu.

Uzi tayari
Hauna rafiki traffic polisi
Kama ana mashine,ushamaliza mchezo
Mbona

Zamani ulikuwa unaweza fanya sema tra walifuta hiyo

Ova
 
Mimi ninatafuta humu? Hiyo ishu ni ya 5yrs ago, hata hivo siwezi tafuta mwanaume jf
Ahaa hebu tuombe radhi,kwani wanaume wa JF wana nini wote tumesoma udsm na wote tuna magari makali na kazi nzuri,tatizo nini
 
Back
Top Bottom