Nitamjuaje mmiliki wa gari kwa kutumia plate number?

Ni kama nakukumbuka hivi,bado hujaolewa kumbe?
 
Mbona mimi uliwahi kuniomba no yangu.
Weka hapa ushahidi, piga screenshot uweke hapa kila mtu aone luckyline alikuomba no?

Labda nikukumbushe mimi sijawahi mfata mtu pm humu, kama.nilishachat na mtu pm jua alinifata yeye.
 
Weka hapa ushahidi, piga screenshot uweke hapa kila mtu aone luckyline alikuomba no?

Labda nikukumbushe mimi sijawahi mfata mtu pm humu, kama.nilishachat na mtu pm jua alinifata yeye.
Okay, sitakukopesha tena liwalo na liwe ila ngoja tuimalize kwanza siku ya kesho 14/02.
 
NI vema kupitia website za tra kuliko kusikiliza story za mtaani na kuzileta hapa..mil 5 ni kwa miaka 3...plus laki 5...so jumla 5,500,000 kila miaka 3
 
Attachments

  • Screenshot_20230213_181038_Chrome.jpg
    185 KB · Views: 42
NI vema kupitia website za tra kuliko kusikiliza story za mtaani na kuzileta hapa..mil 5 ni kwa miaka 3...plus laki 5...so jumla 5,500,000 kila miaka 3
Mkuu asante sana.
 
Stori ndefu kinoma[emoji23][emoji23][emoji23]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…