Nitampata wapi huyu mrembo hapa JF

Nitampata wapi huyu mrembo hapa JF

Naona Jibu unalo hapo juu!!

Ameshachelewa huyo cheusi.

Ningeweza sana lakini kuna huyu mtu hapa chini ameshaniwahi. Analinda kama mgambo wa City.

Mi nakupigia wewe tu. Aftaroo nna namba zako wewe peke yako.Hun, unajua kunilinda kweli. Hebu mwone cheusie hapo juu anataka kuniiba.

You made me smile,
when I could only frown.
You picked me up
when I was down.


Now i think of you
every day and night.
you came into my life
and made everything right.


I love you truly,
I love you wholly.
I love you completely,
I love you solely.


Thank you so much!!!
 
Hapo kwenye bold niko kimaslahi zaidi.

Ongeza na hii kiongozi ili upate kitu murua 100%.
Awe mshauri nasaha kama Mwanajamiione
Awe anadeka kama Pearl
Asiwe anatema kiblurey kama Noname.
Ajue kujiandaa kama Shishi.
Awe na sifa ya kujifungua bila woga kama mama 5Js
Awe anakumisi kama babylove................


Xspin.....hebu fafanua hapo pa red!!!! mmmmmnh!!!
 
2010 niko kikazi zaidi
X*X*X*X*X*X*X*X*X*X

Funga na kuomba utampata mwenye sifa zote hizo kama hutajali tutafunga pamoja+ Charity
Namtafuta nanihii yule yupo??
progress.gif
FL1 mwendhio nina wasi2 na Nguli.Sijui kama yupo siriaza kweli.He's too choosy
 
Ameshachelewa huyo cheusi.



You made me smile,
when I could only frown.
You picked me up
when I was down.


Now i think of you
every day and night.
you came into my life
and made everything right.


I love you truly,
I love you wholly.
I love you completely,
I love you solely.

Thank you so much!!!
Leo my hommie Valuu zitamkoma kwa hii Poem!!
 
Preta hapo ulipoandika kutumia chaki ujue nimeona.....

sema maana yake ndo sijajua bado ngoja tu shem aje.....

ha ha....wakwetu bana , umeshaclear cookies kule kwenye mdudu lakini?
 
Mwenye mvuto kama FL,
Mpole na mwenye ngozi nyororo kama Lily Flower,
Swagger unyenyekevu na upole kama za JS,
Ateme nondo za ukweli kama WOS,
Mcha Mungu kama Charity,
Mwenye umbile la kibantu kama CheusiMangara.
Mchesi na mwenye kujituma jamvini kama BHT,
Mwenye msimamo usioyumba kama Preta,
Mfia nchi kama Gender Sensitive,
Asijichanganye na jinsia yake kama itei tei lya kite.
Mwenye kujali watoto asiwaache Arusha kama Nyamayao.
Mwenye kuota umilionea kama Binti Maringo.
Awe mshereheshaji wa kicheni Pati ya JF kama Maria Roza
Awe anajua kuimba(Vocalist) kama MAHAI.

Nitampata wapi huyu bibiye.

Hii imeniacha hoi mtawezana kweli maana chicken pati ni karibia kila siku katika mwezi ukaaji nyumbani itakuwa zero %
 
ha ha ha shida inakuja ni hii hapa chini....

Usijali hilo!Hata baibo inasema vinywaji(alkoholi) vimejaa Ufisadi.Valuu zitanipeperushia ndege wangu,we nisaidie tu kumrudisha kundini(Isijekuwa na wewe kimey ni mwanachama wa mbege/valuu)
 
Usijali hilo!Hata baibo inasema vinywaji(alkoholi) vimejaa Ufisadi.Valuu zitanipeperushia ndege wangu,we nisaidie tu kumrudisha kundini(Isijekuwa na wewe kimey ni mwanachama wa mbege/valuu)
ha ha ha hapo kwenye chaki BHT atanisadia nisije nikaongeo uwongo!!
 
Back
Top Bottom