Nitampata wapi huyu mrembo hapa JF

Nitampata wapi huyu mrembo hapa JF

nikienda kule ntaharibu friday yangu bure......

eti kasema imetuuma ndo maana ofu topiki........ngoja nikachungulie ukisikia mayowe tell I ribimi to come n rescue me
Am watching. As always.
 
Jiunge nasi hapa BP ya posta kuna nguli kubwa linakusubiri. washa tukutuku

Niko house of wonders UWN sasa hivi, nikitoka nelekea kasri then nakuja hapo BP ya Posta kabla sijaelekea kwenye contena la vodacom....
 
Mwenye mvuto kama FL,
Mpole na mwenye ngozi nyororo kama Lily Flower,
Swagger unyenyekevu na upole kama za JS,
Ateme nondo za ukweli kama WOS,
Mcha Mungu kama Charity,
Mwenye umbile la kibantu kama CheusiMangara.
Mchesi na mwenye kujituma jamvini kama BHT,
Mwenye msimamo usioyumba kama Preta,
Mfia nchi kama Gender Sensitive,
Asijichanganye na jinsia yake kama itei tei lya kite.
Mwenye kujali watoto asiwaache Arusha kama Nyamayao.
Mwenye kuota umilionea kama Binti Maringo.
Awe mshereheshaji wa kicheni Pati ya JF kama Maria Roza
Awe anajua kuimba(Vocalist) kama MAHAI.

Nitampata wapi huyu bibiye.

Nguli,

Hapo kwenye red umejuaje?
 
Hapa umeingia choo cha walemavu! LOL

Hivi huyu anaweza kuwa mwanaume huyu hata mimi huwa nawasi naye

Niko house of wonders UWN sasa hivi, nikitoka nelekea kasri then nakuja hapo BP ya Posta kabla sijaelekea kwenye contena la vodacom....

Mahai JF is deadly missing u where ar u with the HOLY MAN?
icon10.gif

By the way nina performance leo usiku nimeshavaa embu nicheki ninavyong'aa hapa chini

Nguli,

Hapo kwenye red umejuaje?

Nikiangalia maandishi naona mpaka moyo wa mtu.
 
Mahai JF is deadly missing u where ar u with the HOLY MAN?
icon10.gif

By the way nina performance leo usiku nimeshavaa embu nicheki ninavyong'aa hapa chini

Hahaaa "the holy man" I am around, the HOLY MAN is angry, rejeta inammaliza... avatar yako inanikumbusha mbali sana... lazima tukupeleke Kyle German ukaperform kwa "malkia" wa house of wonders
 
Hahaaa "the holy man" I am around, the HOLY MAN is angry, rejeta inammaliza... avatar yako inanikumbusha mbali sana... lazima tukupeleke Kyle German ukaperform kwa "malkia" wa house of wonders

itanibidi nijue mambo ya Guten Morgen...zit nakadhalika wkati English yenyewe bado kabisa.
 
Ushauri wangu ni kuwa utangoja na kusubiri, utasubiri sanaaaa...
 
Mwenye mvuto kama FL,
Mpole na mwenye ngozi nyororo kama Lily Flower,
Swagger unyenyekevu na upole kama za JS,
Ateme nondo za ukweli kama WOS,
Mcha Mungu kama Charity,
Mwenye umbile la kibantu kama CheusiMangara.
Mchesi na mwenye kujituma jamvini kama BHT,
Mwenye msimamo usioyumba kama Preta,
Mfia nchi kama Gender Sensitive,
Asijichanganye na jinsia yake kama itei tei lya kite.
Mwenye kujali watoto asiwaache Arusha kama Nyamayao.
Mwenye kuota umilionea kama Binti Maringo.
Awe mshereheshaji wa kicheni Pati ya JF kama Maria Roza
Awe anajua kuimba(Vocalist) kama MAHAI.

Nitampata wapi huyu bibiye.

wajua sisi Wai slam hapo mkuu nimeingiwa na mshituko..ajitume jamvini mambo ya mkeke mkuu si mchezo hayana makerere wa nini..
 
Hapo kwenye bold niko kimaslahi zaidi.

Ongeza na hii kiongozi ili upate kitu murua 100%.
Awe mshauri nasaha kama Mwanajamiione
Awe anadeka kama Pearl
Asiwe anatema kiblurey kama Noname.
Ajue kujiandaa kama Shishi.
Awe na sifa ya kujifungua bila woga kama mama 5Js
Awe anakumisi kama babylove................

aha ? 🙄 lol
 
Best chukua yeyote kati ya hao wanaonekana wana busara safi ila angalia wengine wanawaume zao usijedhani mke wa mtu ni msichana... utahama mji. Ila best hao wote nawakubali laiti ningekuwa si mseja basi ningechumbia mmoja.
 
Back
Top Bottom