kaka ,kwanini ulikaa muda mrefu bila ya kuwasiliana nae? bcz mm nahis kwa maelezo yako umekaa muda mrefu bila ya kumtafuta,ata kama alikua anakupenda ,lakin ungekua una keep going at least maongezi na kupeana moyo ktk mapenzi yenu ,unajua bro roho imeumbwa na sehemu, maybe aliona basi bcz ata ukumtafuta tena ,ila cha kufanya ,kama bado una feel kua na yy ,unakumbuka kwao kwa jamaa zake nenda umtafute ikiwa ni riski ya kwako utamkuta , mapenzi ni mtihani , kuna wanao bahatika na kuna ambao wana hangaika ,best of luck