Nimejaribu kote huko kuna likizo moja nilikuwa bongo kuna kipindi fulani hivi radio one sijui kama bado kipo cha kutafutana nilipeleka tangazo langu pale ila sikupata reaction mkuu,bt thnks sna.daaaaaaaaaah.....
sniper kwa msako huu, asipopatikana atakuwa hayupo kwenye ulimwengu huu...
sgaga fanyia kazi ushauri wa sniper, hoping utafanikiwa...
wish u lucky
sifanyi utani hapa,naami siyo wewe najua jinsi ambavyo angereact Ester hata kama ameolewa.Jamani sgaga, nishaolewa nina watoto wanne, niliona kimya hata hujibu sms zangu, mara ukaanza kupiga kwa mawazo, basi nikapata mchumba
maisha yanabadilika sana na watu tunabadilika, anywy poa bana all the bestsifanyi utani hapa,naami siyo wewe najua jinsi ambavyo angereact Ester hata kama ameolewa.
Ester Sebastian, aliniambia kwao ni Kahama na mtaa wao unaitwa mwendakulima
Nimejaribu kote huko kuna likizo moja nilikuwa bongo kuna kipindi fulani hivi radio one sijui kama bado kipo cha kutafutana nilipeleka tangazo langu pale ila sikupata reaction mkuu,bt thnks sna.
Aisee jitahidi uende, ningekusaidia ila bahati mbaya hiyo mitaa mi sio mwenyeji!
ulizaa au ulijifungua wewe! khaaa, kwa maelezo ya jamaa japo hajasema sidhani kama imepita miaka sita....sasa ww watoto wanne!!au ulikuwa unabeba mimba mbili mbili...haaa haaaa... msaidie mwenzio jinsi ya kulipata hilo libarafu la uvungu wa moyo wake banaJamani sgaga, nishaolewa nina watoto wanne, niliona kimya hata hujibu sms zangu, mara ukaanza kupiga kwa mawazo, basi nikapata mchumba
Unacheka unadhani mazuri haya, mapenzi yalikuwa mazito sana, treni zima walituonea gere
Ester Sebastian, aliniambia kwao ni Kahama na mtaa wao unaitwa mwendakulima
Miaka sita inatosha kabisa kuzaa watoto wanne, yeye alinisahau banaulizaa au ulijifungua wewe! khaaa, kwa maelezo ya jamaa japo hajasema sidhani kama imepita miaka sita....sasa ww watoto wanne!!au ulikuwa unabeba mimba mbili mbili...haaa haaaa... msaidie mwenzio jinsi ya kulipata hilo libarafu la uvungu wa moyo wake bana
Kipipi, kwa heshima na taadhima na kwa niaba ya Jeiefu nakuomba chonde chonde umsaidie ndugu yetu madam upo maeneo hayo. Kama jamaa akifanikiwa basi nakuahidi ten pasent ya hisa za kampuni anayokusudia kuianzisha yeye na Ester...
Pliiiiiiiiz😕