Nitampataje mume mwenye vigezo hivi?

simple,expand your search....
vigezo ulivyotaja wengi wanakuwaga masharobalo....hivyo jitahidi uwe na pochi watakufuata tu:twitch::twitch::twitch::sick:
 
Did you enjoy yesterday???

The best date of my life!You are such a gentleman...me was stunned by your beautiful face..sweet words and such a kind smile!Thank you Fynest...you are truly the Finest gentleman around here!
 
The best date of my life!You are such a gentleman...me was stunned by your beautiful face..sweet words and such a kind smile!Thank you Fynest...you are truly the Finest gentleman around here!
There's more to come and more for you to enjoy
 
the best date of my life!you are such a gentleman...me was stunned by your beautiful face..sweet words and such a kind smile!thank you fynest...you are truly the finest gentleman around here!

khoo ohoo ohoo....hiki kifua nacho ah!
 
Mhhh wivu tu!!!
Fynest na Hashy embu acheni kuchakachua thread ya watu...malalamiko yamezidi!!!
Nafikiri muhusika tumempa ushauri wa kutosha sasa ni juu yake kuufanyia kazi
 
The best date of my life!You are such a gentleman...me was stunned by your beautiful face..sweet words and such a kind smile!Thank you Fynest...you are truly the Finest gentleman around here!

Wapi Afro Denzi...................?????????
 
nawashukuru nyote, nimezisoma comments zenu, ukiona kama unavigezo hivyo karibu chemba!!

Kukaribia sio tatizo lakini ingekuwa vizuri kujua na vyako ili mtu akija chemba ajue anakuja kujicomit kwa vigezo vipi!!!:twitch: Mbona unasita kujiweka peupe?????????????????????????????????????????????????????????????????????????
 
......Kopooooosssssssss!

Nafikiri muhusika tumempa ushauri wa kutosha sasa ni juu yake kuufanyia kazi

Leo mzee kidogo uwe sawa sawa na mfalme wa amani aiseee......Lol!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…