Tatizo ni imani haba.Mama mchungaji hebu msome hapa mtumishi wako
Dada yangu alishawahi kunitania kuwa eti niwatongoze wale ninaowapenda na nikitu ambacho siwezi hata kujaribu kufanya. Jamani nisaidieni au ndio niendelee kusubiri ubavu wangu kutoka kwa Mungu?
Naombeni mawazo yenu, pengine nafikiri hadithi za kujenga magorofa hewani.
sasa hapa anataka mawazo ya mungu au yetu na kwanini asisubiri kama hapo juu alivyoandika, nanukuu (jamani nisaidieni au ndio niendelee kusubiri ubavu wangu kutoka kwa Mungu)