Michelle
JF-Expert Member
- Nov 16, 2010
- 7,628
- 3,535
Kidoogo tu!Si hata wewe ulikua unamfikiria mupenzi!?
ha ha ha ha ha, NGOMA DROO!!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kidoogo tu!Si hata wewe ulikua unamfikiria mupenzi!?
Tena ya 5-5ha ha ha ha ha, NGOMA DROO!!
kweliii eh ngoja nichonge na bibie mie usumbufu sina kabsaaHommie kwa age yako hiyo unaweza kukubaliwa kwa kigezo kuwa vibabu wanakuwa sio wasumbufu l.o.l
sasa huko mi ntajuaje wewe ndo Michelle? unajua kwa umri wangu nikitongozwa huko naweza pasua laptopu buree!!mmmhhh uzee tabu jamani,JF chat huijui?utanipa nini nikikuonyesha,eeeehhh,naaam.....l.o.l
kweliii eh ngoja nichonge na bibie mie usumbufu sina kabsaa
sasa huko mi ntajuaje wewe ndo Michelle? unajua kwa umri wangu nikitongozwa huko naweza pasua laptopu buree!!
Ishu bado ipo pale pale waweza kusign off then kamichelle kengine kakaingia na kuanza kunitongoza huoni itakua tabu kesho nikukuuliza ya jana? Mi huko bana cji ukiona Kimey ujue sio mimi..!!Natumia jina langu.......nawewe tumia lako! ukitongozwa mi ntalia kweli,yaani wamtongoze kijana muzee yangu???
Ishu bado ipo pale pale waweza kusign off then kamichelle kengine kakaingia na kuanza kunitongoza huoni itakua tabu kesho nikukuuliza ya jana? Mi huko bana cji ukiona Kimey ujue sio mimi..!!
umeona dawa ni kugoma mpaka mods waturudishie ile ya longi...mmmhhh haya na mi siendi basi,kama huendi na mi siendi......naogopa kutongozwa na mwingine....l.o.l:laugh::laugh:
umeona dawa ni kugoma mpaka mods waturudishie ile ya longi...
Okay Mamito C u!! ngoja niingie counter ya juu....
wapi digidigi TF, tukapate mixer za tikila?
Hivi huyu mwenye hii thread mbona thread imefika page ya tano hajarudi bado kutupa feedback au bado anafanya recruitment:laugh::laugh::laugh:
Enjoy,TF ashatangulia kaunta ya juu,utamuona hapo muda si mrefu!!
Nakusalimia kama una nafasi, natumai utakuwa umeshinda salama...........
Nimeshinda salama,natumai nawe pia.....sijasahau,later's kidogo!!!
Wapendwa nawasalimu!!
Ninatumai kila mtu ana sifa za ama mke au mume anayemtaka, rafiki zangu wa JF, napenda sana nipate mume mwenye vigezo hivyo hapo nilivyovitaja lakini kila siku imekua kinyume kabisa na matarajio yangu.
1. Awe Mkirsto
2. awe mweupe
3. awe na feature ya maisha, kwani fedha hutafutwa
4. awe mrefu wa wastani
5. kuanzia miaka 30 kuendelea
Dada yangu alishawahi kunitania kuwa eti niwatongoze wale ninaowapenda na nikitu ambacho siwezi hata kujaribu kufanya. Jamani nisaidieni au ndio niendelee kusubiri ubavu wangu kutoka kwa Mungu?
Naombeni mawazo yenu, pengine nafikiri hadithi za kujenga magorofa hewani.
Wapendwa nawasalimu!!
Ninatumai kila mtu ana sifa za ama mke au mume anayemtaka, rafiki zangu wa JF, napenda sana nipate mume mwenye vigezo hivyo hapo nilivyovitaja lakini kila siku imekua kinyume kabisa na matarajio yangu.
1. Awe Mkirsto
2. awe mweupe
3. awe na feature ya maisha, kwani fedha hutafutwa
4. awe mrefu wa wastani
5. kuanzia miaka 30 kuendelea
Dada yangu alishawahi kunitania kuwa eti niwatongoze wale ninaowapenda na nikitu ambacho siwezi hata kujaribu kufanya. Jamani nisaidieni au ndio niendelee kusubiri ubavu wangu kutoka kwa Mungu?
Naombeni mawazo yenu, pengine nafikiri hadithi za kujenga magorofa hewani.
Ewaaaaaaaaaaaahhhhh....Dada Suzy Umesomeka, Umeweka Sifa za Mwanaume unayemtaka, ni vema uweke na sifa zako pia ili kurahisisha zoezi kwa sisi wahitaji!
Asante
Vigezo vyote ulivyotaja ninavyo. Mimi ni mtumishi wa serikali. Kipato changu ni cha kati. Bahati mbaya nina mtoto wa kiume wa kujifunzia. Ana miaka mitatu. Ifikapo tarehe 26 Februari nitatimiza miaka 32 kamili. Unasemaje bibie? Ebu na wewe jidescribe kidogo ili nikupatie namba yangu ya simu. I'm serious!