St. Paka Mweusi
JF-Expert Member
- Sep 3, 2010
- 7,956
- 5,149
Unaniudhi nahizo sitaki nataka zako,kitu kidogo tu unazunguka mpaka basi
Sema tu I MISS YOU MICHELLE,CAN I SEE YOU THIS WEEKEND?
nimeshakuvumilia sana,sasa wenzio wako straight...................lol:Cry::car::car::car:
Bas huwa nikija Dar, nikiona binti yeyote maneno mengi najiuliza, au huyu ndiye rose1980? lol
mh.....!!!! Beijing hii............
hii thread ni ngumu kulizo zote nilizo ona tangu niingie JF mmmmhhh..
:smile-big::smile-big:
hii thread ni ngumu kulizo zote nilizo ona tangu niingie jf mmmmhhh..
:smile-big::smile-big:
Jamani huyu dada kanivutia sana hata kama hatanipa tamu basi hata story tu nakuzimia sana tafadhali nakupataje? Natamani ungekuwa wangu wa kila siku
JAMAN MBON AHAUJ PM JINO WANGU...nsahukwa ulimi mie nakusubir wewe tu...
Hahahaha duh mama lao upo shapu changamka tenda hiyo
Ongea nae tu hapo kwenye PM lakini una point maana huyo Rose anaweza akaanza kukufundisha kuongea
ugumu wake nin...
Kwa nini AD? Naona umeacha kulia sasa...