Nitampataje rose1980?

Nitampataje rose1980?

Unaniudhi nahizo sitaki nataka zako,kitu kidogo tu unazunguka mpaka basi
Sema tu I MISS YOU MICHELLE,CAN I SEE YOU THIS WEEKEND?
nimeshakuvumilia sana,sasa wenzio wako straight...................lol:Cry::car::car::car:




Mh.....!!!! Beijing hii............
 
Bas huwa nikija Dar, nikiona binti yeyote maneno mengi najiuliza, au huyu ndiye rose1980? lol

hahaa haa aya bwana....maneno meng kwa keyboad au ana kwa ana..UNGALITAMBUA...
TUKO BASI TUKO PAMOJA....MI NIPO NACHIPARAMBA MTWARA WALA SIISH DAR..
 
hii thread ni ngumu kulizo zote nilizo ona tangu niingie JF mmmmhhh..
:smile-big::smile-big:
 
JAMAN MBON AHAUJ PM JINO WANGU...nsahukwa ulimi mie nakusubir wewe tu...
 
Jamani huyu dada kanivutia sana hata kama hatanipa tamu basi hata story tu nakuzimia sana tafadhali nakupataje? Natamani ungekuwa wangu wa kila siku

Ongea nae tu hapo kwenye PM lakini una point maana huyo Rose anaweza akaanza kukufundisha kuongea
 
ugumu wake nin...

procedure
procedure
procedure
mmmhh hizo procedure anazotakiwa apitie..
Mhhh Dr. Phill ushauri wa maisha
mhhh Dr. Ozzy mmmhh kupima magonjwa na kazalika..
mmhhh jamani
au Rose bibie amwonee tu huruma..
hahah lol
 
Back
Top Bottom