Uchaguzi 2020 Nitampigia Kura mgombea urais yeyote atakaejieleza kwa ufasaha kuhusu fao la kujitoa NSSF

CCM ilishatoa ufafanuzi wa kuifuta Sheria hiyo - baada ya uchaguzi mkuu uko huru kujitoa
Pigia CCM
Ni uhuni tu wa hapo, hamna kitu kingine. Pia sio CCM tena ni Magufuli na kakundi Jake kadogo ndo wasababishi wa majanga haya, wapo CCM wengi kindakindaki ambao ni wahanga wa manyanyaso haya ya sheria mpya na bahati mbaya hawana say kwa mwenyekiti wao.
 
CCM ilishatoa ufafanuzi wa kuifuta Sheria hiyo - baada ya uchaguzi mkuu uko huru kujitoa
Pigia CCM
Kwa nini CCM hao hao waliileta na kuipitisha? Baada ya kuona kibano ndo wanaahidi kuifuta? Tukiwapigia halafu wasiifute? Kwa sababu lengo lao la kwanza liko pale pale? Yaani wanaahidi kuifuta baada ya kusikilizia upepo unavumaje?
 
Poor daddy,unawaza nssf tu?,mkipewa za mkupuo mnaolea hovyo ,kunywa pombe hovyo na starehe zisizo na maana ,kisha mnaanza kuilaumu serikali haiwajali ,pathetic
We endelea kuishi maisha ya kwenye novel.

Kama umefanikiwa maishan si busara kupuuza wenzako. Uwe na adabu. Kwani hii dunia si yetu.
 
Poor daddy,unawaza nssf tu?,mkipewa za mkupuo mnaolea hovyo ,kunywa pombe hovyo na starehe zisizo na maana ,kisha mnaanza kuilaumu serikali haiwajali ,pathetic
We mpumbavu nini? Sasa utampangia mtu matumizi ya pesa zake? Kwani hata akilewea si zake!! Wewe inakuuma nini?
 
Unajua maana ya kupigwa miti?
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Sent from my Nokia 2.3 using JamiiForums mobile app
 
Magufuli na Wabunge wa CCM walifuta FAO la kujitoa

FAO la kujitoa halipo, watu hawalipwi Pesa zao zote.

Watu professional wanalipwa 33% ya mshahara kwa miezi 6. Baada ya Hapo akae miezi 18 bila mshahara, halafu hapewi.

Ni uhuni wa CCM.

Hata wakereketwa wa CCM wanateseka.
 
Rais arudishe fao la kujitoa

Afute kabisa Sheria mpya ya 2018

Futa kabisa

Pesa sio za Serikali, Ni Haki za wafanyakazi
 
Wabunge wa CCM Kwa wingi wao walipitisha hii Sheria kandamizi wakati wao kila baada ya miaka mitano wanachukua chao ,anaepigia Kura CCM hayajamfika.
 
Wabunge wa CCM Kwa wingi wao walipitisha hii Sheria kandamizi wakati wao kila baada ya miaka mitano wanachukua chao ,anaepigia Kura CCM hayajamfika.
Hakuna haja ya kuchagua wabunge wa CCM...

Wanajali chama chao kuliko haki za wanyonge
 
Wananchi na Wafanyakazi private sekta...twende na Tundu Lisu

CCM Ndugai na Magufuli wamepora haki za wanyonge, Kuondoa FAO la kujitoa
Hilo ndilo tatizo la kuishi kwa mihemuko, we umesikia wapi wafanyakazi walioachishwa kazi hawapati stahiki na haki za wanyonge zimeporwaje?
 
Watu wengi wamekosa FAO la kujitoa

Wewe sio Mfanyakazi na huna ndugu aliyedhulumiwa.

Siku moja, amka nenda Ofisi za NSSF halafu sikiliza tu, majibu ya NSSF na malalamiko ya watu.

Unatetea CCM kwa sababu unafaidi Kodi za Watanzania au Posho ya CCM.

Kwanini walifuta FAO la kujitoa? Unajua Sababu?

Je unazifahamu kanuni za fao la kukosa ajira?

Embu jibu hapa Kama unajua chochote...isiwe tu Ni ignorant
 
Na
Naunga hoja..ila naomba kujua sheria ya sasa inasemaje kama mnufaika wa pensheni anapofariki.Familia yake itaendelea kulipwa ? Kwa mda gani au utaratibu gani? Au haitalipwa?
 
Watanzania tuliowengi tutamchagua Rais Magufuli kipenzi cha Watanzania


Yule mropokaji na msaliti wa Nchi Lissu atapigiwa kura na robert
 
Hilo ndilo tatizo la kuishi kwa mihemuko, we umesikia wapi wafanyakazi walioachishwa kazi hawapati stahiki na haki za wanyonge zimeporwaje?
Mimi mmoja wapo sijapewa stahiki zangu na viambata vyangu vyote vipo kwao niliachishwa kazini since2017 na nilikuwa mwanachama PPF/PSSSF kwa sasa.hata hilo fao la kukosa ajira nalisikia kwenye bomba... Mkuu hakuna mihemko katika hili.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…