Ngongo
Platinum Member
- Sep 20, 2008
- 20,654
- 35,887
Uchaguzi 2020 - Tundu Lissu achambua mifuko ya Jamii na fao la kujitoa, CCM jibuni hoja hizi
Msikilize Lissu kwa makini sana.
Msikilize Lissu kwa makini sana.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ni uhuni tu wa hapo, hamna kitu kingine. Pia sio CCM tena ni Magufuli na kakundi Jake kadogo ndo wasababishi wa majanga haya, wapo CCM wengi kindakindaki ambao ni wahanga wa manyanyaso haya ya sheria mpya na bahati mbaya hawana say kwa mwenyekiti wao.CCM ilishatoa ufafanuzi wa kuifuta Sheria hiyo - baada ya uchaguzi mkuu uko huru kujitoa
Pigia CCM
Kwa nini CCM hao hao waliileta na kuipitisha? Baada ya kuona kibano ndo wanaahidi kuifuta? Tukiwapigia halafu wasiifute? Kwa sababu lengo lao la kwanza liko pale pale? Yaani wanaahidi kuifuta baada ya kusikilizia upepo unavumaje?CCM ilishatoa ufafanuzi wa kuifuta Sheria hiyo - baada ya uchaguzi mkuu uko huru kujitoa
Pigia CCM
Kuhujumu Kampeni za Wapinzani ndio Pole pole anafanya
CCM waliondoa FAO la kujitoa
CCM waongo. Wanatafuta kura tu. Hatudanganyiki ng'o!!CCM ilishatoa ufafanuzi wa kuifuta Sheria hiyo - baada ya uchaguzi mkuu uko huru kujitoa.
Pigia CCM
Sio Kweli.CCM ilishatoa ufafanuzi wa kuifuta Sheria hiyo - baada ya uchaguzi mkuu uko huru kujitoa.
Pigia CCM
We endelea kuishi maisha ya kwenye novel.Poor daddy,unawaza nssf tu?,mkipewa za mkupuo mnaolea hovyo ,kunywa pombe hovyo na starehe zisizo na maana ,kisha mnaanza kuilaumu serikali haiwajali ,pathetic
We mpumbavu nini? Sasa utampangia mtu matumizi ya pesa zake? Kwani hata akilewea si zake!! Wewe inakuuma nini?Poor daddy,unawaza nssf tu?,mkipewa za mkupuo mnaolea hovyo ,kunywa pombe hovyo na starehe zisizo na maana ,kisha mnaanza kuilaumu serikali haiwajali ,pathetic
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Unajua maana ya kupigwa miti?
Magufuli na Wabunge wa CCM walifuta FAO la kujitoaNi uhuni tu wa hapo, hamna kitu kingine. Pia sio CCM tena ni Magufuli na kakundi Jake kadogo ndo wasababishi wa majanga haya, wapo CCM wengi kindakindaki ambao ni wahanga wa manyanyaso haya ya sheria mpya na bahati mbaya hawana say kwa mwenyekiti wao.
Hakuna haja ya kuchagua wabunge wa CCM...Wabunge wa CCM Kwa wingi wao walipitisha hii Sheria kandamizi wakati wao kila baada ya miaka mitano wanachukua chao ,anaepigia Kura CCM hayajamfika.
Wananchi na Wafanyakazi private sekta...twende na Tundu Lisu
Hilo ndilo tatizo la kuishi kwa mihemuko, we umesikia wapi wafanyakazi walioachishwa kazi hawapati stahiki na haki za wanyonge zimeporwaje?Wananchi na Wafanyakazi private sekta...twende na Tundu Lisu
CCM Ndugai na Magufuli wamepora haki za wanyonge, Kuondoa FAO la kujitoa
Naunga hoja..ila naomba kujua sheria ya sasa inasemaje kama mnufaika wa pensheni anapofariki.Familia yake itaendelea kulipwa ? Kwa mda gani au utaratibu gani? Au haitalipwa?Ndugu zangu wasalam,
Mimi ni mwajiriwa kwenye sekta binafsi na nimeanza kuchanigia NSSF tangu mwaka 2011, akiba yangu ni kati ya Mil 60-75, japo kuna kipindi nilijitoa nilipohama kampuni, muda si mrefu nataka niache kazi nijikite kwenye kufanya kazi zangu binafsi.
Kinachonisikitisha ni kauli za kwamba sheria ya mafao kwa sasa hairuhusu kujitoa, hadi nifikishe umri wa miaka 55, au ili niqualify unit 180 au michango ya miaka 15.
Mimi binafsi naona kama ni ukoloni mamboleo, mimi sikwenda kazini kukua.
Rafiki zangu wahindi, wazungu na foreigner wengi, yani hata wakenya tu hapo niliwahi fanya nao kazi wao wakiwa wanaondoka wanadai chao na wanalipwa bila makato wala wasiwasi wowote.
Mfanyakazi mwezangu Mkenya amekosa kibali karudi kwao Kenya na 100M, Mhindi kaondoka na 250M sisi Watanzania ndio tunaambiwa hadi tufikishe miaka 55.
Yule Mkenya kafungua biashara zake kaniambia sisi Watanzania tunaumizana wenyewe kwa wenyewe, yani imeniuma mno.
Sasa nikifikiria wanasiasa hasa wabunge wanalipwa hela zao CASH 200+ M wanapomaliza huduma ya miaka 5, mimi naambiwa lazima nifikishe 55.
Kuna kipindi Kigwangala alisema kwanini usitunze mwenyewe unasubiri serikali ikutunzie, swali kwake, pengine hajui chochote kuhusu kuajiriwa na kukatwa 10% ya salary kila mwezi, isitoshe pamoja na maneno yake mengi kaishia kuja kuomba pikipiki kwa mo, kwani mili 200 ni boda boda ngapi bei ya jumla China?
Sasa turudi kwenye hoja za kutumia hela zetu
1. Ujenzi wa miradi ya maendeleo kama chuo kikuu Dodoma, Soko la Karume na daraja la kigamboni, hivi wanafunzi si wanalipa ada. daraja linalipwa na watumiaji, soko na wafanyabishara, iweje bado hela zishikiliwe kwa kisingizio cha miradi kutokurejesha hela.
2. Miradi ya maendeleo inachangiwa na kodi zangu, kwanini nichangie mara mbili, kuna haja gani ya kutoa huduma bure ambazo kama nchi hatuna uwezo nazo tusifanye sharing na wananchi wa kima cha chini.
3. Wabunge wanaliokopeshwa hela za NSSF wamerejesha? Kama hapana wamepewa kama zawadi? Sasa kwanini Wafanyakazi tusikopeshwe na sisi kama ilivyo kwa wanasiasa, mbona SACCOS na VICOBA wanaendesha kwa faida na wanapewa gawio, hapo Kwenye mifuko shida nini.
4. Miradi inayoitwa ya hovyo na uwekezaji usio na mantiki, kwanini kipaumbele cha wapangaji isiwe wachangiaji wa mifuko, yani hata nyumba za bei nafuu?
5. Kuna upekee gani wa mfuko kukaa na hela ya mwanachama kwa zaidi ya miaka 20 then uje umlipe kiasi kile kile alichochangia bila percentage increase ikizingatiwa kuwa thamani ya pesa huisha kutokana na muda (Monetary value depriciate over time)
Narudia tena nitampigia kura mgombea urais yeyote atakae ongelea suala hili kwa ufasaha, kura ni maslahi binafsi.
Best,
PM
Mimi mmoja wapo sijapewa stahiki zangu na viambata vyangu vyote vipo kwao niliachishwa kazini since2017 na nilikuwa mwanachama PPF/PSSSF kwa sasa.hata hilo fao la kukosa ajira nalisikia kwenye bomba... Mkuu hakuna mihemko katika hili.Hilo ndilo tatizo la kuishi kwa mihemuko, we umesikia wapi wafanyakazi walioachishwa kazi hawapati stahiki na haki za wanyonge zimeporwaje?