Nitamsamehe Magufuli ila sio Bashiru

Nitamsamehe Magufuli ila sio Bashiru

Superbug

JF-Expert Member
Joined
Jan 31, 2018
Posts
13,864
Reaction score
35,079
Rais magufuli ni mgeni kwa Mambo mengi ya kisiasa ndio maana ameharibu kila mahali nitamsamehe kwa sababu ya ugeni wake kwenye mambo ya uongozi kimataifa sisi Kama taifa tuliyumba ndio maana yeye akajiokotea pera (guava) kwenye mpapai.

Mungu anisamehe siwezi kumsamehe bashiru mpaka naingia kaburini!

Kwa sababu yeye ni msomi mkubwa Tanzania haya anayoyafanya Leo KISIASA sisi wengine tunamuangalia kwenye angle ya usomi mahiri wa UD.

Sawa amesaliti usomi ila nacc aturuhusu kwa mioyo yetu kunjufu tumsaliti na kumchukia milele!.

Imetupa picha ya Waafrika wasomi wajinga!

Mungu mkumbuke Tundu Lissu.
 
Mi sitamsamehe JPM kamanda. Kaharibu biashara zetu sana! Siku hizi mateja yamepungua sana mitaani. Kazi ya kuuza ngada imekuwa ngumu kichizi.

Anapeleka madawa mahospitali ya serikali anafikiri sie wa private tutapigaje pesa? Anakusanya kodi juzi kidogo afikishe Trilioni mbili, wakati mwenzake alikuwa anakusanya Bilioni 7 zingine anatuachia wakwepa kodi.

Huyu Magufuli sio wa kumsamehe Kamanda. Kaharibu kila mahali.
 
Ukiuliza sababu za kumchukia hauna ndio hivyo WATANZANIA MITANDAONI kila mtu anataka kumpangia mwenzake jinsi ya kuishi.

Eti unataka akufurahisha wewe kama nani na unamsaidia nini kwenye maisha yake?
Watu Wana mambo ya ajabu mno ....ndo mana unaambiwa ukifata ya watu utapotea tuu , Bora ukomae na la kwako hata kama unakosea
 
JPM Ni mgeni kwa Mambo mengi ya KISIASA ndio maana ameharibu kila mahali NITAMSAMEHE kwasababu ya ugeni wake kwenye mambo ya uongozi kimataifa cc Kama taifa tuliyumba ndio maana yeye akajiokotea pera (guava) kwenye mpapai.

Mungu anisamehe siwezi kumsamehe bashiru mpaka naingia kaburini !!

Kwasababu yeye ni msomi mkubwa Tanzania haya anayoyafanya Leo KISIASA cc wengine tunamuangalia kwenye angle ya usomi mahiri wa UD .

Sawa amesaliti usomi ila nacc aturuhusu kwa mioyo yetu kunjufu tumsaliti na kumchukia milele!.

Imetupa picha ya waafrika wasomi wajinga !!

Mungu mkumbuke tundulisu!!!

Hakuna mahusiano katika ya elimu na busara....hata usome vipi kama siyo mwerevu hauwezi kuwa kamwe
 
Back
Top Bottom