Mkuu. Huna. Lolote. Taja yote hapa ambayo JPM kafanya. Acha porojo za kutunga na kuhisi na kusikia. We si ni Msomi.... in doubt do not, and the principle of natural law and justice....
Kumbuka Pia. Unajaji kutokana na sera za chama chake kwa wananchi. Pitia then Tuambie. Compare na sera ya chama chako. Angalia Nini Mwananchi wa kawaida anategemea kwa Rais Wake. We msomi so chambua.
Kwangu Mimi ulipomtaja Lissu ndo nikaona una tatizo na umekaa kisiasa, tena za kijinga. Huyu Lissu unahisi atafanya kipi Kipya na kwa uzoefu na kwa sera gani. Au una maana atakuwa akiamka anatunga zake. Siasa mkuu Ni mchezo Hatari sana. Usiwe mwepesi kutukana.
Mwisho nikwambie mkuu. Taarabu zako pembeni. Tz inamuhitaji JPM. La msingi wote mnaoishi huko mfanye kazi. No pain no gain. Hakuna vya bure. Hivyo ndo vinatufanya tufanye siasa kabla na baada ya uchaguzi. Lini kazi zitafanyika.
Kuna wakati najiuliza. Hivi Ni hela au Ni ujinga. Na tatizo Kubwa mnapenda sana kutoa hoja za kijinga. Kuna wakati simama wewe kama wewe na sera zako.
Sent using
Jamii Forums mobile app