Wenyewe wanapaita jalalani (dampo) unategemea nini kwa vitu/watu wanaotokea jalalaniMimi nimeenda mbali zaidi,nimeichukia UDSM.
Sina cha kuongeza.
Rais Mnagawagawa wa zimbambwe wanajeshi wameshampindua, na anatafuta chaka akajifiche Qatar, bongo hatujifunzi tu kwa wenzetu.
Watu Wana mambo ya ajabu mno ....ndo mana unaambiwa ukifata ya watu utapotea tuu , Bora ukomae na la kwako hata kama unakoseaUkiuliza sababu za kumchukia hauna ndio hivyo WATANZANIA MITANDAONI kila mtu anataka kumpangia mwenzake jinsi ya kuishi.
Eti unataka akufurahisha wewe kama nani na unamsaidia nini kwenye maisha yake?
Anaishi kwa Kodi zetuUkiuliza sababu za kumchukia hauna ndio hivyo WATANZANIA MITANDAONI kila mtu anataka kumpangia mwenzake jinsi ya kuishi.
Eti unataka akufurahisha wewe kama nani na unamsaidia nini kwenye maisha yake?
KABUDI NI MZIGOnakubaliana na ww, huyu hana tofaut na Kabudi, historia itawakumbuka vibaya sana
Kivipi?
KWANI VIPI?Kivipi?
Kwanini mkuu?Watu Wana mambo ya ajabu mno ....ndo mana unaambiwa ukifata ya watu utapotea tuu , Bora ukomae na la kwako hata kama unakosea
Amekuwa mbunge na waziri kwa zaidi ya miaka ishirini halafu bado unasema ni mgeni kwenye siasa? Duh huyu sasa atakuwa amedumaa hivyo hafai kuwa kwenye hiyo nafasi.
Sent using Jamii Forums mobile app
Lini hii mkuu? Nilikua porini huko sijaipataRais Mnagawagawa wa zimbambwe wanajeshi wameshampindua, na anatafuta chaka akajifiche Qatar, bongo hatujifunzi tu kwa wenzetu.
JPM Ni mgeni kwa Mambo mengi ya KISIASA ndio maana ameharibu kila mahali NITAMSAMEHE kwasababu ya ugeni wake kwenye mambo ya uongozi kimataifa cc Kama taifa tuliyumba ndio maana yeye akajiokotea pera (guava) kwenye mpapai.
Mungu anisamehe siwezi kumsamehe bashiru mpaka naingia kaburini !!
Kwasababu yeye ni msomi mkubwa Tanzania haya anayoyafanya Leo KISIASA cc wengine tunamuangalia kwenye angle ya usomi mahiri wa UD .
Sawa amesaliti usomi ila nacc aturuhusu kwa mioyo yetu kunjufu tumsaliti na kumchukia milele!.
Imetupa picha ya waafrika wasomi wajinga !!
Mungu mkumbuke tundulisu!!!
Rais Mnagawagawa wa zimbambwe wanajeshi wameshampindua, na anatafuta chaka akajifiche Qatar, bongo hatujifunzi tu kwa wenzetu.