Uchaguzi 2020 Nitamwaga Sukari ziwa Victoria

Siku ya kupiga kura wahi kituoni. Ukiingia ndani ya chumba cha kupigia kura, utapewa karatasi za kupigia kura. Chukua ile jaratasi ya wagombea uraisi. Angalia lile jina la mwisho. Utakuta alama ya vidole viwili yaani nembo ya Chadema. Mbele yake utaona picha ya Salum Mwalim na Mbele yake picha ya Tundu Antipas Lissu. Mwishoni pale kuna sehemu ya kuweka alama. Chukua kalamu weka alama ya V. Usieeke alama nyingine kwenye fomu yako isije ikaharibika. Wakati mwingine wanatumia mhuri wa V. Ikiwa hivyo gonga mhuri kwenye hiyo sehemu mbele ya picha ya Lissu. Usifanye kingine. Kunja fomu yako kaitumbukize kwenye sanduku la kura za uraisi. Mshukuru Mungu kimyakimya kwa imani yako huku ukiomba kuwa kura yako wasiibe. Mbunge halikadhalika Chagua wa Chadema. Diwani wa chadema.
KUMBUKA KANUNI HII: WAKWANZA ATAKUWA WA MWISHO NA WA MWISHO ATAKUWA WA KWANZA,!!! Maana yake weka alama kwa yule wa mwisho kwenye krodha kwa sababu huyo ndiye wa kwanza kwenye matokeo.
 
Yule mama achana nae aliwahi wahaidi wasingida kuwapa maji ya kumwagilia ubuyu
 
#NIYEYE2020
 
Uchaguzi huu CCM inakwenda kushinda kwa kishindo kwakua upinzani nidhaifu kuliko wakati wowote tangu kuanzishwa kwa vyama vingi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…