Uchaguzi 2020 Nitamwaga Sukari ziwa Victoria

Kwenye nafasi ya Mbunge na ya Diwani kama hayupo wa CHADEMA weka V yako kwenye nafasi ya Mgombea yeyote wa Upinzani aliyopo. Waliengua wagombea wetu wa Upinzanl tuwaengue wa kwao hivyo!
Kuna lugha nzuri imrtumika. Chagua wa chama kingine unayeona ana nguvu kushinda wa Ccm. Ni kama kunywa sumu kuweka V kwenye mgombea wa ccm.
 
Wakichukua Kodi zetu na kugoma kutuletea maendeleo ni mwendo wa kugoma kulipa Kodi tu, huo ni wizi uchukue Kodi za watu then uwanyime maendeleo
 
Niko tayari kumwaga sukari baharini lakn sio kuchagua mateso kwa miaka mingine wanayoita eti tano zaidi, tano zaidi???? Kwa lipi jema mulilowatendea watz.
 
Mimi pia nitamwaga Sukari Ziwa Victoria, halaf tuone
 
Wajinga ni wengi ndio wanaigharimu nchi tangu tumepata uhuru.

Unashangaa mtu wa Tandahimba anasifia Ubungo flyover uanabaki unajiuliza hivi sisi tumerogwa na nani?
Wakati huo huo kijijini kwake kuna watoto hawana madarasa, hivi nani katuroga watanzania?

Watu wanapiga kura kwa kushaishiwa kwa kanga na kofia
Mungu atunusuru
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…