Fixed Point
JF-Expert Member
- Sep 30, 2009
- 11,304
- 12,746
Ni mchumba ambae sijadate nae hata once ila alikuwa mchumba tu kwa kuwa namuona binti na nampenda, lakini sijashare nae mapenzi naomba nieleweke! zaidi ni sms na kupigiananae simu tu
What do you mean hujadate nae??? anakuwaje mchumba wako without dating??? Au unamaanisha you have never slept with her??? Hiyo haijalishi bwana bottom point ni kwamba you drove her close to you to the extent of making her beleive that you were hers hata kama mnakaa mbalimbali.
Yani I feel verry sorry for the poor girl kwa sababu that kind of s**t hurts a lot and you men you keep doing it no matter how many times inasemwa kuwa its never fair kwa part nyingine.
KWA NINI HUKUMUAMBIA UNA PLANS ZA KUOA MTU MWINGINE BEFORE YOU GOT MARRIED????
na ahadi ya kumuoa ukampa??? je kwa muda gani?
What do you mean hujadate nae??? anakuwaje mchumba wako without dating??? Au unamaanisha you have never slept with her??? Hiyo haijalishi bwana bottom point ni kwamba you drove her close to you to the extent of making her beleive that you were hers hata kama mnakaa mbalimbali.
Yani I feel verry sorry for the poor girl kwa sababu that kind of s**t hurts a lot and you men you keep doing it no matter how many times inasemwa kuwa its never fair kwa part nyingine.
KWA NINI HUKUMUAMBIA UNA PLANS ZA KUOA MTU MWINGINE BEFORE YOU GOT MARRIED????
Mwambie kuwa umeoa, na usimpe sababu za kumuoa huyo mwingine, mwambie tu kuwa umeoa. Ila umwombe msamaha kwa kupoteza muda wake na kubreak heart; atumia lakini baada ya muda atapona.
Ni vizuri akisikia toka kwako kuliko akisikia kwa mwingine, kwa hiyo fanya hima umwambie mapema
eeh nishaumizwa dia,kwani unadhani wanaume wanaangalia nani wa kumuumiza ?yyte tu wao wanampa za chembe
Ndugu yangu bila kuficha umefanya kosa kubwa. Kuumiza nafsi ya mtu (kimapenzi) ni kosa kubwa sana.
Lakini pia kuendelea kumdanganya (kutomwabia ukweli) ni kosa maradufu.
Mwambie ukweli kuwa wakati wako wa kuoa umeshafika na umeshaoa ila msisitize kuwa sababu ya kutomwoa yeye sio kwamba humpendi ila imekubidi.
lakini Kaka utamuumiza sana.
kwa 3 yrs now lakn pia hizo 3 yrs zote tupo maeneo mbalimbali sio nchi moja, na kwa kadri ya ndoa ya mimi nayeye kama mwenyezi mungu angependa tungekuwa tumefunga tangia 08 lakn kila tukipanga tunapangua kwsbb za yeye kuwa mda wake wa kurudi nchini bado
u will pay for that,rememba wat goes around........y did u date her?
ahhhhhhhhhhhhhhh jamani nyie wanaume wengine ni selfish mnooooooooooooo!!!
jamani ni malipo gani mtu anatakiwa kulipa kwa kumdate msichana pls tell us
Habari zenu wana jamii!
Unamwambiaje mchumba wako wa zamani kuwa hutofunganae ndoa tena? kwasbb umeshaoa naombeni mchango wenu!
jamani ni malipo gani mtu anatakiwa kulipa kwa kumdate msichana pls tell us
Ni kweli kabisa usemayo na huwa hawajali maumivu ya watu wengine wao wanaona sawa tu,kuna jamaa mmoja namfahamu aliwahi kumtenda binti wa watu,kam-engage na wako kwenye maandalizi ya harusi kumbe jamaa ana mtu mwingine na wanafanya mapenzi bila mchumba wake kujua,kilichotokea baada ya yule msichana mwingine kujulikana kwamba ana mimba na wazazi wake walipopata tetesi kuwa aliempa mimba binti yao yuko kwenye maandalizi ya harusi wakamng'ang'ania ikabidi avunje kule aoe yule mjamzito,baada ya kuoana na kupata mtoto,yule jamaa mbona alikoma mke akaanza vituko ndani ya nyumba hakuna maelewano wala nini,hivi sasa wala hawaishi pamoja kila mtu kivyake.
My point is haya maumivu ambayo huwa hawa jamaa wanatuletea iko siku watayalipia,haijalishi kwamba itachukua muda gani hata kama ni miaka ming
api lakini ipo siku.
KUMVUNJA MOYO SHEMEJI........he broke the promise to marry her!!! he is about to break the heart of the mchumba when he reveals the bad news!!!
laana haitoki kwa mzazi tu,unakumbuka ww(mume)wangu ulimpa laana yule aliekuuzia vitu feki?so kama huyu msichana alikuwa na commtment za ukweli na huyu kaka,kampotezea mda etc Mungu ninaemuamini mm dada huyu akiomba,am telling u,atatuandikia tena na kuomba msamaha
lakini nao ni wavunjaji moyo no 1 ila pearl kasema kunamalipo ajataja malipo gani?
kwakweli tafuta mda mwafaka na umweleze mpenzi wako tena bila kutafuna maneno na umpe sababu za msingi za kumtelekeza na kuoa mwigine ni vigumu na chungu kama mwarobaini ila ni dawa baada ya mda atapona atakuelewa tu ikiwa utamweleza ukweli
khee smthing is unusual here.............mbona tumeanza kuwa na fikira zinazofanana