Masaki
JF-Expert Member
- Mar 7, 2006
- 3,463
- 754
nipo laaziz....u busy tu wa kutafuta ugali...mic u.
Yeah! Ni muhimu kuhahakisha Junior anapata asali na maziwa!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
nipo laaziz....u busy tu wa kutafuta ugali...mic u.
Sawa mamii, hatimaye nimekuelewa sasa. Ila nahisi hiyo mmefanya direct translation for the purpose of JF discussion and it is not an officia BAKITA translation(!?)
Yess Sipo...Kuna ugumu gani? kwenye thread sioni paliposema kuwa jamaa alimuahidi huyo dada kuwa atamuoa....Hata kama aliahidi kumbuka mambo hubadirika ingawa watu wengi hudhani kuwa kama demu umeshamega basi ndio ulichokuwa unahitaji sio kweli... Lazima watu tuwe na hekma ya kuamua mambo kuwa boy and girl friend si lazima kuzae ndoa ingawa huwa nashangazwa na lugha za akina dada eti wamepotezewa muda...Kumbeeeeeeeeeeee!!! Simple like that??????
Yess Sipo...Kuna ugumu gani? kwenye thread sioni paliposema kuwa jamaa alimuahidi huyo dada kuwa atamuoa....Hata kama aliahidi kumbuka mambo hubadirika ingawa watu wengi hudhani kuwa kama demu umeshamega basi ndio ulichokuwa unahitaji sio kweli... Lazima watu tuwe na hekma ya kuamua mambo kuwa boy and girl friend si lazima kuzae ndoa ingawa huwa nashangazwa na lugha za akina dada eti wamepotezewa muda...
consult your TUKI dictionary my dia!!! wengine tulisoma KLF na HKL!!! hahaaaaaaaaaaa!!!