Ni kweli kabisa usemayo na huwa hawajali maumivu ya watu wengine wao wanaona sawa tu,kuna jamaa mmoja namfahamu aliwahi kumtenda binti wa watu,kam-engage na wako kwenye maandalizi ya harusi kumbe jamaa ana mtu mwingine na wanafanya mapenzi bila mchumba wake kujua,kilichotokea baada ya yule msichana mwingine kujulikana kwamba ana mimba na wazazi wake walipopata tetesi kuwa aliempa mimba binti yao yuko kwenye maandalizi ya harusi wakamng'ang'ania ikabidi avunje kule aoe yule mjamzito,baada ya kuoana na kupata mtoto,yule jamaa mbona alikoma mke akaanza vituko ndani ya nyumba hakuna maelewano wala nini,hivi sasa wala hawaishi pamoja kila mtu kivyake.
My point is haya maumivu ambayo huwa hawa jamaa wanatuletea iko siku watayalipia,haijalishi kwamba itachukua muda gani hata kama ni miaka ming
api lakini ipo siku.