Nia unayo?Kudadaadek........ umri wangu unakaribia miaka 38, sina hata mchumba wala mtoto wa kusingiziwa. Hivi ninaweza kweli kupata patna wa kuoa? nakaribia kukata tamaa. Lakini ni lazima kuoa?. But I think I need some one in my life. Will some one be interested to rescue me? please communicate with me
Unaweza kuchumbia dume mwenzio kule, usifanye mchezo!Tembelea sub-jukwaa la Love connect; halafu usisubiri wakuPM anza wewe!
Kila mtoto na baba yake?Nichukue mimi. . .
Umri 35. . .
Watoto watatu. .
Sina mcumba wala mume!!!
Kila mtoto na baba yake?
Nilitaka nikupongeze.Kwani we ulitakaje?
Kudadaadek........ umri wangu unakaribia miaka 38, sina hata mchumba wala mtoto wa kusingiziwa. Hivi ninaweza kweli kupata patna wa kuoa? nakaribia kukata tamaa. Lakini ni lazima kuoa?. But I think I need some one in my life. Will some one be interested to rescue me? please communicate with me