Nitaoa kweli?

Nitaoa kweli?

Kwanza jihoji uko tayari kuwa mume wa mtu na utakuwa mume wa aina gani? Je, ni mke wa aina gani atakayekufaa?then anza kumtafuta. Umakini mkubwa unatakiwa wakati wa kutafuta mke.
 
Utakuwa na sababu, naona wanaJF wengi si waumi wa Baba Mungu yule aliye binguni. Walitakiwa wakushauri kumwomba huyo ndo huwa anaamua katika mipango yetu yote. Najua umepanga sana muda na mali lakini Mungu bado hajaamua. Muombe tu, na akikupa utaona raha ya ndoa. Ndoa raha sana pamoja na changamoto zake lakini ni heshima kubwa. Unaona tunawajibu tunavyotaka akina Lizzy, Kongoshao, Smile na wengine hapa, ni kwa sababu tuna uhakika.
 
Back
Top Bottom