Utakuwa na sababu, naona wanaJF wengi si waumi wa Baba Mungu yule aliye binguni. Walitakiwa wakushauri kumwomba huyo ndo huwa anaamua katika mipango yetu yote. Najua umepanga sana muda na mali lakini Mungu bado hajaamua. Muombe tu, na akikupa utaona raha ya ndoa. Ndoa raha sana pamoja na changamoto zake lakini ni heshima kubwa. Unaona tunawajibu tunavyotaka akina Lizzy, Kongoshao, Smile na wengine hapa, ni kwa sababu tuna uhakika.