Nitaoa sura mbaya wa kawaida sana kutokana na uchunguzi huu kwenye mtandao

Kupanga ni kuchagua....

Wewe oa tu unayoeona ankufaa kwa vigezo vyako.

Mke hana SI Unit
 
Kuepuka stress kama huna hela oa sura pasona mtaishi popote mtakula mpatacho . kama una mkwanja basi oa pisi kali uta injoy maisha na waifu wako.
 
Mke bora awe pisi kali tu, akili atarumia zangu.
 
H Hyo kawaida yako kwa mwenzako ni pisi kali,imajn nlichukua huyo unaemwita wa kawaida ila mwenyew aliniendesha kama gari bovu na kuanza kucheat huko,nkaona ya nini kujifia nkajitoa mazima
 
Baada ya wewe kuoa huyo unayemwita sura personal kuna wakulungwa watakaa kikao kabisa wakitafakari umempendea nini?

Kisha jibu litakuja moja tu kwamba mungu hakunyimi vyote labda mtoto anasumaku yake hapo chini kisha watajaribu theories zao na hapo ndipo utakapopata presha.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…