Nitaongoza wanasimba kwenda mahakamani, acha tz ifungiwe na fifa

Mngeleta mada kujadili michango ya ujenzi wa uwanja wenu imefikia wapi kuliko kuleta mashudu kama haya
 
hii picha inahusiana vipi na mada?
 
TFF wanaujua mziki wa huyo manzi. Yeye huwa haingei na mbwa, anaongea na mwenye mbwa. Kama hawajavutiwa uzi na CAF au FIFA basi wafanye huo utopolo
 
TFF wanaujua mziki wa huyo manzi. Yeye huwa haingei na mbwa, anaongea na mwenye mbwa. Kama hawajavutiwa uzi na CAF au FIFA basi wafanye huo utopolo
😫😫😫😫 kapimwe akili, ni ushauri tu!
 
Mngeleta mada kujadili michango ya ujenzi wa uwanja wenu imefikia wapi kuliko kuleta mashudu kama haya
Uwanja upo katika hatua ya kutumika pitch kwa ajili ya mazoezi ya timu ya wakubwa, timu B na timu ya wanawake. Kwani wa Kaunda veepe, au ule aliowagawia Makonda bure kabisa, vipo katika hatua gani, bado mnachora ramani?

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…