wastani kwa idadi
JF-Expert Member
- Jun 28, 2024
- 503
- 1,432
- Thread starter
- #21
Kama huna uzoefu na vitu ni heri utuulize wazoefu.Kuwa makini shule nyingi private Wana syllabus za USHOGA chunguza
Shule za private zinafuata mtaala wa Necta, labda kama unazungumzia international schools zinazotumia sylabus ya cambridge