Nitapata kazi mwezi huu

Roho mtakatifu amenijulisha kuwa kabla ya kuisha kwa mwezi huu nitapata kazi nzuri katika taasisi nzuri, itakuwa na mshahara na marupurupu mazuri, na nitafanikiwa kimaisha na kiujuzi.

Asante Yesu.
Napokea kadiri ya imani yangu kwa jina la Yesu.
Amen pokea sawa sawa na imani yako ya MUNGU
 
Roho mtakatifu amenijulisha kuwa kabla ya kuisha kwa mwezi huu nitapata kazi nzuri katika taasisi nzuri, itakuwa na mshahara na marupurupu mazuri, na nitafanikiwa kimaisha na kiujuzi.

Asante Yesu.
Napokea kadiri ya imani yangu kwa jina la Yesu.
Amina Mwenyezi Mungu akutendee wewe atukumbuke na sisi pia.

Jina La Bwana lihimidiwe
 
Roho mtakatifu amenijulisha kuwa kabla ya kuisha kwa mwezi huu nitapata kazi nzuri katika taasisi nzuri, itakuwa na mshahara na marupurupu mazuri, na nitafanikiwa kimaisha na kiujuzi.

Asante Yesu.
Napokea kadiri ya imani yangu kwa jina la Yesu.
Una recieved ngapi?
 
Apostle kuna muujiza!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…