Kelvin X JF-Expert Member Joined Jun 28, 2011 Posts 1,940 Reaction score 2,401 Nov 15, 2015 #1 wandugu naomba kukiri mi ni dependant yani zile classification za ICD 10 na meet zote ila sasa i hv been struggling kuacha pombe nimeshindwa kabisa. nisaidieni kama kuna hizi group therapy hapa tanzania ama hata rehab. nipo arusha
wandugu naomba kukiri mi ni dependant yani zile classification za ICD 10 na meet zote ila sasa i hv been struggling kuacha pombe nimeshindwa kabisa. nisaidieni kama kuna hizi group therapy hapa tanzania ama hata rehab. nipo arusha
BADILI TABIA JF-Expert Member Joined Jun 13, 2011 Posts 32,767 Reaction score 23,198 Nov 15, 2015 #2 Nasikia kuna kituo kigamboni. Hebu fanya utafiti kama kinashughulikia tatizo lako
Kelvin X JF-Expert Member Joined Jun 28, 2011 Posts 1,940 Reaction score 2,401 Nov 15, 2015 Thread starter #3 BADILI TABIA said: Nasikia kuna kituo kigamboni. Hebu fanya utafiti kama kinashughulikia tatizo lako Click to expand... asante. nipo arusha kikazi. labda niombe likizo
BADILI TABIA said: Nasikia kuna kituo kigamboni. Hebu fanya utafiti kama kinashughulikia tatizo lako Click to expand... asante. nipo arusha kikazi. labda niombe likizo