Nitapata wapi AA sessions

Nitapata wapi AA sessions

Kelvin X

JF-Expert Member
Joined
Jun 28, 2011
Posts
1,940
Reaction score
2,401
wandugu naomba kukiri mi ni dependant yani zile classification za ICD 10 na meet zote ila sasa i hv been struggling kuacha pombe nimeshindwa kabisa. nisaidieni kama kuna hizi group therapy hapa tanzania ama hata rehab. nipo arusha
 
Nasikia kuna kituo kigamboni. Hebu fanya utafiti kama kinashughulikia tatizo lako
 
Back
Top Bottom