Nitapata wapi ACSEE result 2014?

Nitapata wapi ACSEE result 2014?

al-bauly

JF-Expert Member
Joined
Aug 27, 2014
Posts
343
Reaction score
108
Wana jamvi nina shida ya matokeo ya acsee necta mwaka 2014 lakin siyaon website ya NECTA plz mwenye nayo anitumie kwenye email yang rashidj066@gmail.com
 
Kuna wa2 kazi yao ni kukosoa spelling badala ya kutoa spelling sahihi wanaponda,zngne ni typing error!
 
Kuna wa2 kazi yao ni kukosoa spelling badala ya kutoa spelling sahihi wanaponda,zngne ni typing error!

Asante hivo ndo walivo watanzania wako kukosoa wanaacha maendeleo
 
Back
Top Bottom