Nitapata wapi Bata wenye mbegu bora kwa ajili ya ufugaji

Nitapata wapi Bata wenye mbegu bora kwa ajili ya ufugaji

Idrissou02

JF-Expert Member
Joined
Jul 31, 2018
Posts
354
Reaction score
656
Naam, wakuu natafuta bata mwenye mbegu bora ili nije kuanzisha rasmi ufugaji wa bata wa kueleweka.

Naombeni muongozo sehemu za kuwanunua na gharama zake.
 
Habari mkuu, vipi ulifanikiwa? Kama bado kindly karibu PM. Ninao bata 31 nawauza. Ni wazuri sana. Nimewazalisha mwenyewe. Miezi 7 tayari wanataga mayai ya kutosha. Wana maumbo makubwa. Nipo Arusha.
 
Attachments

  • VID-20220717-WA0009.mp4
    11.1 MB
Habari mkuu, vipi ulifanikiwa? Kama bado kindly karibu PM. Ninao bata 31 nawauza. Ni wazuri sana. Nimewazalisha mwenyewe. Miezi 7 tayari wanataga mayai ya kutosha. Wana maumbo makubwa. Nipo Arusha.
Unauzaje jombaa?

Nikiwa Dar nitapata kwa njia gani?
 
BEI: inategemeana na size ya bata,
#Majike 18,000 ~ 20,000/= Tsh
#Madume, 20,000~25,000/=

karibu mkuu, Dar naweza kutumia kwa gharama zako.
 
Ukitaaji wakisasa kama upo dar usisite kunitembelea shamban kwetu au page yetu ya Instagram ILUNDA FARM
 
Back
Top Bottom