Nitapata wapi Daktari wa ngozi Arusha?

Nina vipele kwenye weusi kuzunguka chuchu. Nimetumia dawa vinaisha baada ya muda vinarudi tena.

Nikashauriwa nitafute Daktari wa ngozi.

Msaada tafadhali

Katika Nature Knowledge ( Heshoutang Natural Health system/ Xianhe) :

SKIN / NGOZI

Hilo tatizo hutokana na Toxin tunaita hot toxin au hot dampness toxin , kuvamia ngozi na kuzuia mzunguko wa damu kwenye ngozi hivyo madhara kama hayo kutokea ,

Sasa katika kutibu tatizo kama hilo lazima pia tujue kwenye Mfumo kuna shida gani ( Energy)
Ngozi ipo chini ya mfumo wa Mapafu
Na mapafu yanadhibiti upumuaji na njia za hewa
Kwenye ngozi twaweza pata Pumu ya ngozi ,

Kwa hiyo lazima tutafanya Diagnosis ili kujua hakika shida ni nini kwenye Mfumo , ni energy gani imeleta shida na kusababisha tatizo la ngozi !

Kwa hiyo katika tiba ya asili kimataifa #1 , lazima tufuatilie tatizo , ugonjwa hauibuki tu , kuna mahala umepewa kibali kuwepo ( Toxin )

TIBA / Treatment plan :
1. Clear hot toxin in blood
2. Improve Circulation into skin
3. Balance Lungs & Large intestine system ( LL) energy

Tunapofanyia Kazi hayo maeneo , tatizo hilo la ngozi linaondoka na haliwezi rudi tena !

Cont : +255653048888
www.heshoutang.com/heshoutang-dar-es-salaam-tanzania-office
 
Nina vipele kwenye weusi kuzunguka chuchu. Nimetumia dawa vinaisha baada ya muda vinarudi tena.

Nikashauriwa nitafute Daktari wa ngozi.

Msaada tafadhali
Njoo PM nikupe Dawa
 
Hayaa nataka wa arusha
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…