Nitapata wapi flat 2 or 3 bed room ya kununuwa

Nitapata wapi flat 2 or 3 bed room ya kununuwa

Zahor Salim

Member
Joined
Sep 1, 2010
Posts
29
Reaction score
9
Salaam wa wanaukumbi

naomba kujulishwa kama hapa dar es salaam kama kuna flat zinauzwa kwa njia ya malipo ya instlament yaani kama kuna mjenzi anajenga jengo la ghorofa kumi na zaidi na huwa anauza flat kabla hayaanza kujenga na kulipa down payment na balnce kwa muda wa miaka 2 au zaid.

Naomba yeyote anaejuwa naomba contact

natanguliza shukran
 
Unahitaji maeneo gani?maana hata chanika zipo hizo
 
Kaka Salim,

Nenda mitaa ya Mindu na Malik mitaa ya upanga karibu ya Hospitali ya Muhimbili kuna appartments zinajengwa na kuuzwa...! Jamaa wanauza bei mbaya lakini between 90M to 150 M. Lakini ni appartment nzuri sana mno...!
 
kaka salim,

nenda mitaa ya mindu na malik mitaa ya upanga karibu ya hospitali ya muhimbili kuna appartments zinajengwa na kuuzwa...! Jamaa wanauza bei mbaya lakini between 90m to 150 m. Lakini ni appartment nzuri sana mno...!

ahsante nitafuatilia
 
Back
Top Bottom