Subiri kwanza wamalize Kusikitika hawa MASIKITIKO FC kisha watawapa maelekezoNipo mwanza nahitaji jezi mpya ya mashindano ya kimataifa hasa Ile yenye rangi ya dark blue
Labda huyo Haier wangemuweka nyuma kwenye mwiko. Maana manyonyo yameshikiliwa na sportpesa🤣🤣Mnyama Kapiga double double huko....SBS Na Utopolo..!Unayo Habari ! Usijisahaulishe.
Hiyo mijezi unayoiulizia imeingia kwenye mgogoro Na Sportpesa.. Kifua yanapokaa Manyonyo Kimeshalipiwa Na Sportpesa halafu Utopolo Wanapokea Pesa Ya Bwana Mwingine.!
How come.? Timueni injinia..
Nipo mwanza nahitaji jezi mpya ya mashindano ya kimataifa, hasa Ile yenye rangi ya dark blue.
Unafikiri hata kuna pesa inayoingia basi, ni janja janja ya gsm kutangaza biashara zake. Haier anaubia na gsm kibiasharaMnyama Kapiga double double huko....SBS Na Utopolo..!Unayo Habari ! Usijisahaulishe.
Hiyo mijezi unayoiulizia imeingia kwenye mgogoro Na Sportpesa.. Kifua yanapokaa Manyonyo Kimeshalipiwa Na Sportpesa halafu Utopolo Wanapokea Pesa Ya Bwana Mwingine.!
How come.? Timueni injinia..