Nitapata wapi jezi mpya za Yanga kwa Mwanza?

Seth seth

Senior Member
Joined
Jan 2, 2022
Posts
106
Reaction score
150
Nipo mwanza nahitaji jezi mpya ya mashindano ya kimataifa, hasa Ile yenye rangi ya dark blue.
 
Mnyama Kapiga double double huko....SBS Na Utopolo..!Unayo Habari ! Usijisahaulishe.

Hiyo mijezi unayoiulizia imeingia kwenye mgogoro Na Sportpesa.. Kifua yanapokaa Manyonyo Kimeshalipiwa Na Sportpesa halafu Utopolo Wanapokea Pesa Ya Bwana Mwingine.!

How come.? Timueni injinia..
 
Nipo mwanza nahitaji jezi mpya ya mashindano ya kimataifa hasa Ile yenye rangi ya dark blue
Subiri kwanza wamalize Kusikitika hawa MASIKITIKO FC kisha watawapa maelekezo
 
Mnyama Kapiga double double huko....SBS Na Utopolo..!Unayo Habari ! Usijisahaulishe.

Hiyo mijezi unayoiulizia imeingia kwenye mgogoro Na Sportpesa.. Kifua yanapokaa Manyonyo Kimeshalipiwa Na Sportpesa halafu Utopolo Wanapokea Pesa Ya Bwana Mwingine.!

How come.? Timueni injinia..
Labda huyo Haier wangemuweka nyuma kwenye mwiko. Maana manyonyo yameshikiliwa na sportpesa🤣🤣

MASIKITIKO FC katika ubora wao
 
Mnyama Kapiga double double huko....SBS Na Utopolo..!Unayo Habari ! Usijisahaulishe.

Hiyo mijezi unayoiulizia imeingia kwenye mgogoro Na Sportpesa.. Kifua yanapokaa Manyonyo Kimeshalipiwa Na Sportpesa halafu Utopolo Wanapokea Pesa Ya Bwana Mwingine.!

How come.? Timueni injinia..
Unafikiri hata kuna pesa inayoingia basi, ni janja janja ya gsm kutangaza biashara zake. Haier anaubia na gsm kibiashara
 
Back
Top Bottom